TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

Ni kawaida bongo ukifa unageuka malaika
 
Jitahidi uwe na hekima, hiki ulichoandika sio sawa na ni kufuru sana. Jitahidi uwe na utu maana nawe upo safarini. Moderator angalia hii. Sio sawa na sio utu kuruhusu comment kama hii Invisible , Paw Maxence Melo futeni hii comment.
Upo sawa ila wafute na yako maana ameuquote huo upumbavu ulioandikwa sasa umenata kwenye ujumbe wako.

APUMZIKE KWA AMANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…