Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu...Hata uwe humble lazima ufe..
Ishi maisha yako,don't pretend.
Sijui hao wanae wanajisikiaje?si juzi tuh alitukanwa na mwanae
Ni kawaida bongo ukifa unageuka malaikaNo Way, Aisee.
Daaaah
Huyu Jamaa Nlikua Namuelewa Sanaa [ Hasa Madini Yake Ya Kimaisha Na Street Intelligence ] Japo Wengine Wachache Walikua Hawamuelewi + Deep Down Alikua Ana Utu Sanaaa.
Rest in Paradise The King Of All Bongo Social Media Network With Over 30 Years In Experience At Downtown New York Mbelezzz.
What An Entertainer, Nimeumia Sana Daaah.
Hakika Maisha Ya Duniani Ni Safari Fupi Sana.
Bwana Mungu Akawe Muongozo Sahihi Kwa Watoto Wake Na Familia Kwa Ujumla. Amen [emoji1488]
🤔🤔🤔🤔🤔✔️✔️✔️✔️Hata uwe humble lazima ufe..
Ishi maisha yako,don't pretend.
Ukute ndiyo chanzo.... Stress= Heart Attacksi juzi tuh alitukanwa na mwanae
Huyo jamaa alikuwa anaiona mauti yake hasa baada ya kutoka hospital last time akaambiwa kiberiti chake kimefeli. So sad indeedDah apumzike kwa amani nitamiss sana habari zake. Yaani leo kale ka mifupa katasherekea dah nimeumia.
Pole sana kwa familia ya Mzee Malecela.View attachment 2621167
Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, William Malecela, William J. Malecela maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Msanii Steve Nyerere.
Taarifa zaidi zitakujia hivi punde.
Upo sawa ila wafute na yako maana ameuquote huo upumbavu ulioandikwa sasa umenata kwenye ujumbe wako.Jitahidi uwe na hekima, hiki ulichoandika sio sawa na ni kufuru sana. Jitahidi uwe na utu maana nawe upo safarini. Moderator angalia hii. Sio sawa na sio utu kuruhusu comment kama hii Invisible , Paw Maxence Melo futeni hii comment.
Kilimbatzz mbona masikitiko...🤔🤔🤔🤔🤔✔️✔️✔️✔️
Na sio muda mrefu umepita, yeye alikosea uombaji msamaha umekaa kisanii. Na huyo mwanae alikosea kumtukana. Nafasi yao ndio hiyo imepitaHapo sasa.. maana alilalamika sana..
Nimeukubali huo Ujumbe niliouqoute hapo juuKilimbatzz mbona masikitiko...
Being humble isn't a guarantee that you won't die.Be Humble down to the earth [emoji288][emoji288]
Huyu ni nani ?View attachment 2621167
Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, William Malecela, William J. Malecela maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Msanii Steve Nyerere.
Taarifa zaidi zitakujia hivi punde.