William Malecela (Le Mutuz) anaumwa, tumuombee

Yaani watu wengine, unaumwa unapata wapi hata muda wa kuomba upigwe picha, ili iweje? Ukipost mtandaoni zile comments za pole ndiyo zinaponesha? Ujinga mtupu.......
Kinachokufurahisha wewe kinaweza kuwa maudhi kwa wengine..na kinyume chake.

Usilazimishe hisia zako ziwe ndio utaratibu wa maisha
 
Mzee kakongoroka mbaya
 
Atajua mwenywe na mungu wake afe au aishi yote faida na hasara ni kwa familia yake
 
Duh augue pole Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema amponye maana wamtumainio Bwana wanalo tumaini.
 
Huyo si nae ni chawa amfuate mtukufu wake basi
 
Isije ikawa tezi..... pole kamanda, uzee una mambo yake !! njia yetu i moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…