Ofisi ya Deputy President na Prime minister haziguswi na maamuzi haya
Citizen TV
======
Your browser is not able to display this video.
Rais wa Taifa la Kenya, William Ruto amewafuta kazi mawaziri wote wa Baraza lake, kufuatia shinikizo kutoka kwa vijana wa kizazi cha GenZ waliotaka mabadiliko.
Katika kutangaza mabadiliko hayo siku ya Alhamisi Julai 11, Ruto alisema kuwa ni Naibu wake Rigathi Gachagua na Katibu Mkuu wa Baraza la Mawaziri Musalia Mudavadi wa wizara ya Mambo ya Nje pekee wanaosalia.
“Baada ya kutafakari na kuwasikiliza kwa makini Wakenya na baada ya kutathmini Baraza langu la Mawaziri, leo nimeamua kuwafuta kazi mawaziri wote,” Ruto alisema, “lakini Naibu wangu na Waziri Mkuu hawajaathirika.”
Ofisi ya Deputy President na Prime minister haziguswi na maamuzi haya
Citizen TV
======
Rais wa Taifa la Kenya, William Ruto amewafuta kazi mawaziri wote wa Baraza lake, kufuatia shinikizo kutoka kwa vijana wa kizazi cha GenZ waliotaka mabadiliko.
Katika kutangaza mabadiliko hayo siku ya Alhamisi Julai 11, Ruto alisema kuwa ni Naibu wake Rigathi Gachagua na Katibu Mkuu wa Barza la Mawaziri Musalia Mudavadi wa wizara ya Mambo ya Nje pekee wanaosalia.

Siyo hapa kwetu vijana kwa wazee wanashindana uchawa kutwa kucha kuwasifia watawala tu wanaojimegea keki ya taifa kama hawana akili nzuri vile. Wapi Lucas Mwashambwa !!!
Walisema Tanzania kuna maiti zinazotembea, Kenya wamedhihirisha hilo. Matatizo yetu na wakenya hayatofautiani sana, ila sisi tunajadili simba vs yanga huku tunakunywa Al kasus mujarab😃
Walisema Tanzania kuna maiti zinazotembea, Kenya wamedhihirisha hilo. Matatizo yetu na wakenya hayatofautiani sana, ila sisi tunajadili simba vs yanga huku tunakula Al kasus mujarab😃