William Ruto avunja Baraza la Mawaziri Kenya

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Breaking news

Ofisi ya Deputy President na Prime minister haziguswi na maamuzi haya

Citizen TV

======

Rais wa Taifa la Kenya, William Ruto amewafuta kazi mawaziri wote wa Baraza lake, kufuatia shinikizo kutoka kwa vijana wa kizazi cha GenZ waliotaka mabadiliko.

Katika kutangaza mabadiliko hayo siku ya Alhamisi Julai 11, Ruto alisema kuwa ni Naibu wake Rigathi Gachagua na Katibu Mkuu wa Baraza la Mawaziri Musalia Mudavadi wa wizara ya Mambo ya Nje pekee wanaosalia.

“Baada ya kutafakari na kuwasikiliza kwa makini Wakenya na baada ya kutathmini Baraza langu la Mawaziri, leo nimeamua kuwafuta kazi mawaziri wote,” Ruto alisema, “lakini Naibu wangu na Waziri Mkuu hawajaathirika.”

Pia, soma=> Rais Ruto asitisha kusaini Muswada wa Sheria ya Fedha 2024, aurejesha Bungeni
 
Breaking news

Ofisi ya Deputy President na Prime minister haziguswi na maamuzi haya

Citizen TV

======

Rais wa Taifa la Kenya, William Ruto amewafuta kazi mawaziri wote wa Baraza lake, kufuatia shinikizo kutoka kwa vijana wa kizazi cha GenZ waliotaka mabadiliko.

Katika kutangaza mabadiliko hayo siku ya Alhamisi Julai 11, Ruto alisema kuwa ni Naibu wake Rigathi Gachagua na Katibu Mkuu wa Barza la Mawaziri Musalia Mudavadi wa wizara ya Mambo ya Nje pekee wanaosalia.

“Baada ya kutafakari na kuwasikiliza kwa makini Wakenya na baada ya kutathmini Baraza langu la Mawaziri, leo nimeamua kuwafuta kazi mawaziri wote,” Ruto alisema, “lakini Naibu wangu na Waziri Mkuu hawajaathirika.”
Haitoshi

Hadi aondoke
 
Alaah Kumbe inawezekana
 
Generation Z wa Tanzania tupo tunafuatilia usajiri wa Aziz K na Chama. Eti hatutaki kuanzisha chokochoko.

Anyway, hapo Kenya Oscar Sudi na Kipchumba Murkomen huwa nawaona ni matapeli. Na mwenzao mwembamba ana nywele kama Juma Nature nimemsahau.
 
Back
Top Bottom