johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Breaking news
Ofisi ya Deputy President na Prime minister haziguswi na maamuzi haya
Citizen TV
======
Rais wa Taifa la Kenya, William Ruto amewafuta kazi mawaziri wote wa Baraza lake, kufuatia shinikizo kutoka kwa vijana wa kizazi cha GenZ waliotaka mabadiliko.
Katika kutangaza mabadiliko hayo siku ya Alhamisi Julai 11, Ruto alisema kuwa ni Naibu wake Rigathi Gachagua na Katibu Mkuu wa Baraza la Mawaziri Musalia Mudavadi wa wizara ya Mambo ya Nje pekee wanaosalia.
“Baada ya kutafakari na kuwasikiliza kwa makini Wakenya na baada ya kutathmini Baraza langu la Mawaziri, leo nimeamua kuwafuta kazi mawaziri wote,” Ruto alisema, “lakini Naibu wangu na Waziri Mkuu hawajaathirika.”
Pia, soma=> Rais Ruto asitisha kusaini Muswada wa Sheria ya Fedha 2024, aurejesha Bungeni