William Ruto avunja Baraza la Mawaziri Kenya

I can't Imagine Kithure Kindiki with all the braggadocious and innuendos atatamba wapi tena??

Angejifunza kwa Matiang'i power is transient and the majority will can't be subverted.
 
Huku kwetu vijana wako busy na kubeti, kujadili nyimbo za diamond, mijadala ya Simba na Yanga na kupush # za mama anaupiga mwingi. Wa Tz ni marehemu wanaotembea. Acha maisha yatucharaze kmmke zetu!
Mnawalaumu vijana WA Tanzania Kwa muktadha upi?
1. Kwamba waige ya vijana WA Kenya
AU
2. Waandamane kuwaridhisha wapinzani...?

Dhihaka nyingi Kwa vijana WA nchi hii zimezidi...Sisi kwetu kuna Mambo yanayotufanya tusiandamane.

a) tunashiba Kenya kuna njaa.
b) kuna ajira za serikali Kenya ajira ni za mchongo.
c) upinzani WA wakenya ni VERY STRONG ukilinganisha na huu WA Mzee Mbowe.
d) Amani ya nchi yetu inatufanya tudhani hatuna shida.(Ila shida zipo)

So we are ok with it....tufanye KAZI Sana Kwa SASA tutafute hela na tuzae watoto wengi watakaoteseka mpaka waamue kuandamana.
 
Wakenya sio mchezo wakiamua lao..
Wakenya wako vizuri sana kuiwajibisha serikali.Goja niende uhamiaji nikaombe passport ili nihamie Kenya niwaache watz na uoga wao wa kutokudai haki.
Uzoefu duniani kote unaonyesha kwamba Umma haujawahi kushindwa kitu chochote kile pale wanapoamua jambo lao.
 
ATaendelea kuwaita wahuni? Su atawaita genZ
 
Ruto anazidi kuonyesha udhaifu akiteua siku tatu zija!o vijana watasema wanataka mambo mengine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…