William Ruto avunja Baraza la Mawaziri Kenya

Vijana wanataka waziri wa kulumo atokane na fani za kilimo, waziri wa afya awe mtu wa afya, ... na mawaziri wasiwe watu wa siasa. Hii ni jambo zuri. Hapa kwetu waziri anatoka wizara hii anahamishiwa nyingine anameza script anaanza porojo kwa kasi ya 5g
 
Tanzania hakuna wanaouwana kwa ukabila.

Kuwa na fikra chanya kuhusu Tanzania, usiwe na fikra potofu kwa uvivu wako tu.
 
Vijana wametisha sana pande hizo
Ukisikia elected by the people for the people ndio hii sasa
 
1. Najua mnapayapata katika maeneo yenu lakini mnavimbiwa,

2. kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake

Anaweza kufanya maamuzi haya?
 
Tanzania hakuna wanaouwana kwa ukabila.

Kuwa na fikra chanya kuhusu Tanzania, usiwe na fikra potofu kwa uvivu wako tu.
Nyinyi, sexagenarians you have messed the country big time the day will come when the citizen of goodwill, will reclaim their country back from few oligarchs that day will come..

Since unaongea hapo ukiwa CA enjoying your retirement benefits and chest thumping!
 
Kenya usiifananishe na Tanzania, kuuwana kisiasa hawjaanza leo wala jana.

Umesahau Kikwete alivyokwenda kuwapagtanisha? Au bado ulikuwa kinda tunduni?
Mbona hata Tanzania tuanauana Kwa akili ya Siasa. Kuna watanzania ni wakimbizi nchini Kenya moaka Leo kule kambi ya Dadaab. Baada ya mauaji ya Zanzibar 2001.
 
Punguza dhihaka kwenye mambo ya Imani. Shauri zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…