Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Habari za usiku huu kama kichwa Cha habari kinavyosema Kwa mnaofuatilia hotuba ya William ruto raisi wa Kenya yaani kiufupi ametonesha vidonda vya gen z anaulizwa maswali mengine anajibu kingine halafu anawatukana kwamba wamemsababishia hasara ya billion 2.5 yaani wewe raisi umewekwa tu hapo raia wanalipa Kodi unasema wamekusababishia hasara najiuliza Kenya walimchaguaje raisi mjinga kama huyu naweza kusema jamaa hafai kua raisi anashindwa hata kuona kama raia wake wanakufa Kwa ujinga wake huyu jamaa anaenda kuchomolewa hapo ndani ya hii wiki ya kama Ngoma unaanza jumanne