William ruto raisi wa Kenya ametonesha vidonda vya Gen Z

William ruto raisi wa Kenya ametonesha vidonda vya Gen Z

Habari za usiku huu kama kichwa Cha habari kinavyosema Kwa mnaofuatilia hotuba ya William ruto raisi wa Kenya yaani kiufupi ametonesha vidonda vya gen z anaulizwa maswali mengine anajibu kingine halafu anawatukana kwamba wamemsababishia hasara ya billion 2.5 yaani wewe raisi umewekwa tu hapo raia wanalipa Kodi unasema wamekusababishia hasara najiuliza Kenya walimchaguaje raisi mjinga kama huyu naweza kusema jamaa hafai kua raisi anashindwa hata kuona kama raia wake wanakufa Kwa ujinga wake huyu jamaa anaenda kuchomolewa hapo ndani ya hii wiki ya kama Ngoma unaanza jumanne
Huyu jamaa. Akifika 2027 (uchaguzi mwingine bahati)
 
Gen Z wa kwetu ni mashabiki wa mpira wa Yanga na Simba, Betting, Ulevi uchawa kwa Samia na Ngono
Generation_timeline.svg.png
 
Back
Top Bottom