William ruto raisi wa Kenya ametonesha vidonda vya Gen Z

Kama wewe ni mtanzania Kaa kimya. Maana huku Kuna hi prevalence ya watu kutekwa na kuuliwa wengine wakiokotwa kwenye mapori huko lakini watu kimyaa
 
China ameweka hela mingi hapo halafu jamaa anajitoa akili, halafu anakuwa mshirika wa NATO katikati ya vita ya Russia na ukraine, hajajifunza west africa, mapinduzi yote yako engineered na Russia kupitia kampuni lao la kijeshi.

Hata MK ya South Africa, its a russian project, Ramaphisa kanusurika kuondolewa coz he is oro west, and Zuma alikuwa Pro Brics
 
Kama wewe ni mtanzania Kaa kimya. Maana huku Kuna hi prevalence ya watu kutekwa na kuuliwa wengine wakiokotwa kwenye mapori huko lakini watu kimyaa
Wewe umechukua hatua gani au unataka wanaume ndio waongee wewe ukiwa umejifunika shuka
 
Kwahiyo muheshiniwa akasepa
 
Ruto tayari ana mnyororo wa ICC miguuni. Isingekuwa hivyo, Kenya wakati huu kungekuwa kunawaka moto.
 
Na pia kaahidi kuwakamata waliohusika na uharibifu wa mali za umma, amesema hayo akiwa Kanisani leo au jana, kwa hiyo ili asiwakamate, watahakikisha wanamuondoa
Hajaongelea askari walioua innocent citizens?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…