Wimbi kubwa la vijana wasomi 20's kujitoa uhai, nini maoni yako?

Hahaha hakuna binadamu asiyeteseka, sema tupo wenye roho ngumu.

Hata usipojiua utakufa tu siku moja, na wote tutakufa hakuna mjanja kwenye kifo.

Labda useme unataka kuwahi.
iyo imekaa vizur tufanye nawahi tu sasa
 
Kijana alietoka familia maskini kumaliza shule na ukakosa mishe ya kufanya ni hatari mbaya sana kwa afya ya akili.

Kama umebahatika kupata kazi inabidi umshukuru sana Mungu, mtaani pagumu sana usiombe.
Ni kweli kabisa
 
Vijana kuto dumu katika subira na maneno ya kejeli na kukatishwa tamaa na ndugu au marafiki tunao.mfano nilikuwa na million moja nikasema nitangaze atakaye nipatia ajira nitampa hiyo pesa nimekaa miaka miwili kitaa sijapata kazi wala connection nikaona mdaa sahihi wa kwenda kufanya biashara nikaingia kufanya biashara ya ufuta nikaambulia lose mtaji wote umeenda kule narudi mjini namwambia rafiki angu anasema ulikurupuka kufanya hiyo biashara wakat tulikuwa tumekaa na kupeana hope na kuchora ramani kabisa jinsi itakavyo kuwa,sasa sina mtaji ajira hakuna unakaa tu home usipo kuwa na subra na imani kwa Mola wako hakika itakupelekea kuacha maumivu kwa watu utakao wacha duniana badaa ya wee kuchukua hatua ya kujinyonga...vijana tuzungumze tumtangulize Mungu
 
Kwa iyo Askari wa miguu,we hauna wazo la kujinyonga 😎😎
 
Hapa kwenye dharau za wazazi umenigusa mkuu,nina baba yangu mzazi ana dharau kiwango cha SGR
 
Upo sahihi mkuu,Mwaka huu SUA waliojiua ni km watatu hivi.
 
BINAFSI SIONI NINACHOKIFANYA DUNIANI YANI SIONI SIONI , Nadhan kifo ndo suluisho kwaiyo wanao jiuwa siwashangai sana mm natafuta suitable way with no pain just smooooooothsmooothss
Pole sana ndugu yangu! Hata mm hali kama hii ilishawahi kunitokea kipindi fulani. Nikafanya mipango nikasafiri kwenda nje ya nchi. Kutokana na changamoto za ugenini, lifestyle pamoja Na kukutana na watu wapya ile hali ya kukata tamaa ya maisha pamoja na depression vilipotea taratibu. Now namshukuru Mungu nafurahia maisha kama kawaida.
Sometimes ukiona mambo yako hayaendi unaweza kusafiri hata nje ya nchi kuanza maisha sehemu nyingine.
Dunia ni kubwa sana
 
Mzee Kigogo kwahiyo na mm unanishauri niende state
NamaanishA kwamba sometimes kukaa sehemu moja kunachosha na hii inasababisha depression na kukata tamaa ya maisha ila ukiamua kutoka kwenda sehemu nyingine kunasaidia na pia unaweza pata sababu ya kuendelea kuishi na kufurahia maisha.
Sio lazima iwe states
 
makin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…