Wimbi kubwa la vijana wasomi 20's kujitoa uhai, nini maoni yako?

bora niumwe
 
Mwanafunzi wa form six anakua na ndoto kubwa sana juu ya maisha yake akifika chuo ndo hapo ndoto ukua na kuona kama anakaribia mafanikio ila tatizo linaanzia pale anamaliza masomo yake anaenda mtaani mtu aliye kua anawaza gari kali nyumba nzur n.k anaambiwa aanze ujasiliamali wa kuuza tikiti, bodaboda, genge, n.k ambapo makusanyo ni sh elf akiwaza ndoto yake ya gar na mapato lazima ajinyonge kabisa. Ushauri selikali ifumbue macho hili ni tatizo kubwa sana kama italikalia kimya
 
Nikwambie tu!hadi jpm anaondoka madarakani watajinyonga wengi tu!!atawaacha wengi wamepooza na kupata kiharusi!!!!Hakuna uhakika wa maisha katika utawala huu!!!CHAGUA LISU 2020 OKTOBA!!
 
Hao ni wajinga wa kiwango cha SGR wanashindwaje hata kujiunga na alshabab wakaambulia hata harufu ya mirungi
 
Vijana waandaliwe kisaikolojia,wazazi tuache zile mambo za kuwaambia watoto Soma ili uwe daktari,pilot or mwanasheria...haya maneno mtoto anaanza yasikia toka yupo kindergarten mpaka anafika chuo,anaishi kwenye matarajio ya kumaliza chuo aajiriwe Basi,hawezi Tena kuwaza nje ya box maana ufahamu wake umeshikwa,Vijana wanatakiwe wafahamu Kama maisha ni VITA!na duniani ndio uwanja wa Vita,so Ili usurvive lazima UPAMBANE....Wadogo zangu pambaneni maisha ni magumu mnoo ila mkikomaa mnatoka fresh tu
 
N
Na usiombe moja Kati ya ndugu uliozaliwa nao awe amepatia kidogo maisha!Wewe hata ukitaka kushauri Jambo la kifamilia utasikia ameanza Vurugu zake.
 
Na bado waendelee kuchagua ccm,vijana wanatakiwa kujua bila kujitoa mhanga kwa kutumia nguvu ili ccm itoke watasubili Sana.Kuliko kujiua si Bora nikakiunge na Isis Msumbiji afu nije kujiripua kwa maccm italeta ujumbe
We nae,Hebu tuondolee mawazo yako ya chama,hata wakitoka hao CCM kikaingia chama kipya kitapunguza huo msongo wa mawazo wa vijana?Mwanasiasa ni Mwanasiasa tu tofauti ya rangi za bendera zao zisikuhadae! Mwanasiasa yoyote akikwambia maneno yake yapuuze cha kuamini ni jina lake tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…