Wimbi kubwa la wazee na wanawake wa miaka 45+ kuongezeka kwenye kamari (kubeti) tatizo ni nini?

Ma Afisa ubashiri tunalipa Kodi Kwa Kila mkeka kwa takribani 18%-20% kwenye Kila mkeka.  Ma Afisa usafirishaji (bodaboda) hawalipi kiasi hicho. IfIke hatua makampuni ya bima yatutambue.
Nimecheka sana hilo jina la maafisa Ubashiri...
 
wazungu wanabet balaa kiasi inawaletea umasikini,
Na wanauza mali yeyote kwa thamani ndogo maduka mengi yaliyopo SA ya Cash Converter au Crusaders wauzaji wa bidhaa ni wazungu wanaobetti wanapekeka Camera,Laptop kwa bei ndogo ila wakifanya hivyo wanazoa hela anarudisha mzigo mpya tena home wao kubeba TV na kuipeleka dukani hawaoni hatari na mara nyingi wanatunza vitu vyote kuanzia box mpaka risiti anajua ipo siku vitamsaidia...
 
Tukirudi nyumbani TZ je, Hali ikoje?
 
Back
Top Bottom