Wimbi kubwa la wazee na wanawake wa miaka 45+ kuongezeka kwenye kamari (kubeti) tatizo ni nini?

Wimbi kubwa la wazee na wanawake wa miaka 45+ kuongezeka kwenye kamari (kubeti) tatizo ni nini?

Wabetiji hawana akili hiyo, uingereza serikali inahaha kudhibiti betting,hawajapata njia waingie vipi
Hao ni interns, vijana walioko kwenye entry level. Ukishakua Afisa ubashiri mwandamizi huwezi kuwa na addiction Bali u think in terms of probability.
 
Hali ni mbaya

Kama watu wanafanya kazi halali inayokuza uchumi it is ok,hata wakiibetia hiyo Hela sawa tu

Shida ni kama ikiwa ni kinyume chake
Betting is a game of chance and probability. Once you master your psychology and put in the work you will never be the same. Rookies thinks of betting as a get rich quick scheme. We are not in Vegas, bookies are always smart than us.
 

Attachments

  • Screenshot_20230409-203555.png
    Screenshot_20230409-203555.png
    22.8 KB · Views: 6
Back
Top Bottom