Wimbi kubwa la wazee na wanawake wa miaka 45+ kuongezeka kwenye kamari (kubeti) tatizo ni nini?

Makamishina ni wale tuna stake kuanzia laki odds 2 hadi 10 sio wale unakuta ana stake jero, buku, elfu 30 Ili wale laki ambayo Bado ni stake kwa makamishina wa ubashiri.
Wenye mitaji midogo Bado wanajitafuta.
 
Hivi hamjui kila kitu duniani ni kubet? Unaenda kanisani au msikitini miaka yote huku unaamini ukifa utaenda peponi ila unakuja kufa unajikuta upo motoni
 
sijui ni ugumu wa maisha au ndo kupenda urahisi beti
Kupenda urahisi wa kupata pesa, kukimbia changamoto... Lakini ukweli uko pale pale sijawahi kuona mtu aliyetoboa maisha kwa kubeti.
 
Tatizo Benki wanatoa mikopo Kwa riba kubwa sana,betting unaweza PATA milion8 ambayo Benki watakukopwsha miezi 96 ndani ya mwaka mja
 
Tuacheni tubeti kwa raha zetu...
 
Ma Afisa ubashiri tunalipa Kodi Kwa Kila mkeka kwa takribani 18%-20% kwenye Kila mkeka.  Ma Afisa usafirishaji (bodaboda) hawalipi kiasi hicho. IfIke hatua makampuni ya bima yatutambue.
Hiyo kodi si hadi ule, nyie mara nyingi mnaliwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…