Wimbi la ‘single mothers’, wa kulaumiwa zaidi ni Wazazi na Serikali

Shida na kuzalishana havina uhusiano!
Huenda malezi mabovu na kuzalishana vikawa na uhusiano, nasema tu huenda!!
Vina mahusiano makubwa sana, mimba nyingi za utotoni na single mothers ni kutoka tabaka la masikini zaidi. Ni nadra kukuta mabinti kutoka familia zenye kipato kizuri na matajiri wakipata mimba kwenye umri mdogo au wakiwa single mothers.
 
Vijana wasomi wa chuo kikuu unataka kusema hawana elimu?
 
Wanawake wanapelekwa tu , hawana msimamo ..Kila siku mimba tna leo ana degree yake anadanganywa na boda .. Mwishoe , bado hana uwezo akishampachika anamkimbia .
 
Vina mahusiano makubwa sana, mimba nyingi za utotoni na single mothers ni kutoka tabaka la masikini zaidi. Ni nadra kukuta mabinti kutoka familia zenye kipato kizuri na matajiri wakipata mimba kwenye umri mdogo au wakiwa single mothers.
Una uhakika mkuu? Wakishua wanapata sana mimba sema wanazitoa sana!!
 
Ila unajua nn mwanangu

Ukiwa single mother kuna namna lazima utafute njia ya kujifariji hata kama unajua yanayoongelewa n kweli.

N Sawa na mwizi, ataiba leo na atajipa imani kuwa mbona jana niliiba na sijadakwa, ngoja na leo tena niibe.
Unatuhusiwa kuwa na mtazamo wako! Ukijifariji inasaidia nini?
 
Chanzo cha single mother ni wanawake kutaka kushindana na wanaume hivyo wanaume kuwa epuka na kuwaona siyo wasaidizi bali washindani.. hivyo umuhimu wa mwanamke umepotea katika familia kwa sababu mwanamke kawa mshindani siyo msaidizi kwa mwanaume.
 
Mimi naona anayestahili lawama zote ni mama wa single mother kwasababu mara nyingi ndo anajua mambo mengi kuhusu mtoto wake sisi wanaume ni watu wa kuletewa matokeo tu nasema hivi nikiwa na maana kwamba malezi ya mtoto wa kike asilimia kubwa huwa yametawaliwa na mama zao hata mf. kuweka njiti na kuchomoa mimba. Inafika kipindi binti anatamani kuwa na mtoto anazaa na yeyote tu ili kukwepa aibu kwamba hana hata mtoto wa kusingiziwa. Kwahiyo mama ndo chanzo cha mtoto kuharibikiwa.
Nini kifanyike wazazi wote mjitahidi kuwalea watoto katika misingi ya dini, mila na pia muwapatie elimu ya mapenzi(ndoa za utotoni na mimba za utotoni) mkibainisha madhara yake.
Muwaambie pia watimize ndoto zao kwanza wasikimbilie majukumu katika umri mdogo. ALISANDE SANA WAKONONGO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…