Wimbi la ‘single mothers’, wa kulaumiwa zaidi ni Wazazi na Serikali

Chanzo cha single mother ni wanawake kutaka kushindana na wanaume hivyo wanaume kuwa epuka na kuwaona siyo wasaidizi bali washindani.. hivyo umuhimu wa mwanamke umepotea katika familia kwa sababu mwanamke kawa mshindani siyo msaidizi kwa mwanaume.
Haya mavijana ya sasa hivi nayo miyeyusho tu , yanapenda kitonga , hayataki kufnya kazi ,ila starehe yanapenda ,ona hilo👇
 
Hoja ya wazazi haina mashiko. Watu wenhi huzalishana na kukimbiana mavyuoni huko na kwenye utafutaji.
Kuna ndo zinavunjia na mama anaondoka na mwanae, baba kazi kwake kutuma matumizi, wengine hawatumi kabisa. Sio wote wanapeana mimba vyoni na kukimbiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…