tunduma001
JF-Expert Member
- Jun 7, 2021
- 403
- 762
Wewe ulisema ni muislam pombe hutumii so jamaa kakutumia picha iyo ili ujue kuwa muislam sio tiketi ya kuwa malaika bwasheeHii picha inahusiana vipi na mimi kuwa muislamu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulisema ni muislam pombe hutumii so jamaa kakutumia picha iyo ili ujue kuwa muislam sio tiketi ya kuwa malaika bwasheeHii picha inahusiana vipi na mimi kuwa muislamu?
Sijajua wanajaza kiasi gani kwamba misuli husika itashindwa kuhimili uzito. Sphincters hazina sense ya vionjo vya utamu, ukali, chungu, kukereketa n.k kama ilivyo kwenye Ulimi - Mdomoni. Sphincters zikitanuliwa (to stretch)kuzidi uwezo wake hutoa ishara (sense) ya maumivu.Sphincter zitahimili ukali wa ile Pombe, sio kwamba zitarelax automatically?
Nakazia hoja. Kumbe enema pia inaweza kuwa ni mojawapo ya starehe!.Yaani ni Enema iliyochangamka!
Maana yake pombe inafyonzwa kwa kuta za Rectum kwa blood stream sio!!?Nakazia hoja. Kumbe enema pia inaweza kuwa ni mojawapo ya starehe!.
Duh! Vijana ni mafundi kweli kweli.
Nimekupata sawasawa, Sasa inabid wakishaweka hiyo walale kabisa wasijejiharishia hovyo ka bata.Sijajua wanajaza kiasi gani kwamba misuli husika itashindwa kuhimili uzito. Sphincters hazina sense ya vionjo vya utamu, ukali, chungu, kukereketa n.k kama ilivyo kwenye Ulimi - Mdomoni. Sphincters zikitanuliwa (to stretch)kuzidi uwezo wake hutoa ishara (sense) ya maumivu.
Ok Ngoja Nimsaidie Kuelezea Kidogo kwa Kirefu kuhusu hiyo Process.. (Digestion yote ili unielewe zaidi)Maelezo yake hayajitoshelezi, msaidie.
Kulingana na vile nilivyomsoma, amedai kuna sehemu ndani ya colon inayohusika kuchuja mara ya mwisho kipi kiwe taka, na kipi kitumike tena na mwili.
Ndio nawataka nyie madaktari mtuambie, hiyo sehemu ndani ya colon inayotumika kuchuja inaitwaje? hiyo colon haina parts?
Nakuitaji Inbox we mtoto kuna kitu nimekumbuka 🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii hii imevuka viwango, sielewi na sifahamu kwa kweli.
Tuwaulize wahusika, mie pombe situmiii, natumia Uboo tyuu.
Wewe ulisema ni muislam pombe hutumii so jamaa kakutumia picha iyo ili ujue kuwa muislam sio tiketi ya kuwa malaika bwashee
Mkoa wa Arusha na Kilimanjaro utadhani mlango wa shetani uko huko vijana wana ulimbukeni wa kuingia mambo hatari tu... Kwa mara ya kwanza nilishuhudia vijana wanatumia Petro na pia kidonge (sumu ya panya) kama kilevi...Mbona Arusha na Moshi wanatumia hiyo kitambo tu.
Sumu ya panya😳?Mkoa wa Arusha na Kilimanjaro utadhani mlango wa shetani uko huko vijana wana ulimbukeni wa kuingia mambo hatari tu... Kwa mara ya kwanza nilishuhudia vijana wanatumia Petro na pia kidonge (sumu ya panya) kama kilevi...
Hahahaaa. Nimecheka sana. Kumbe ndo mana baadhi ya vijana unawakuta asubuhi-asubuhi mapema tuu, wamelala unashangaa inakuwaje mtu mzima tena kijana damu mbichi analala hivi asubuhi kana kwamba anaumwa au ameridhika na hali yake hana shida. Kumbe anasikilizia dozi ikae sawa sawa?Nimekupata sawasawa, Sasa inabid wakishaweka hiyo walale kabisa wasijejiharishia hovyo ka bata.
Haswaa!. Ndo manakeMaana yake pombe inafyonzwa kwa kuta za Rectum kwa blood stream sio!!?
Mbaya sana hii!!