Wimbi la Vijana kutumia Pombe kwa njia ya haja kubwa, haiwezi chochea Ushoga?

Wimbi la Vijana kutumia Pombe kwa njia ya haja kubwa, haiwezi chochea Ushoga?

Sphincter zitahimili ukali wa ile Pombe, sio kwamba zitarelax automatically?
Sijajua wanajaza kiasi gani kwamba misuli husika itashindwa kuhimili uzito. Sphincters hazina sense ya vionjo vya utamu, ukali, chungu, kukereketa n.k kama ilivyo kwenye Ulimi - Mdomoni. Sphincters zikitanuliwa (to stretch)kuzidi uwezo wake hutoa ishara (sense) ya maumivu.
 
Sijajua wanajaza kiasi gani kwamba misuli husika itashindwa kuhimili uzito. Sphincters hazina sense ya vionjo vya utamu, ukali, chungu, kukereketa n.k kama ilivyo kwenye Ulimi - Mdomoni. Sphincters zikitanuliwa (to stretch)kuzidi uwezo wake hutoa ishara (sense) ya maumivu.
Nimekupata sawasawa, Sasa inabid wakishaweka hiyo walale kabisa wasijejiharishia hovyo ka bata.
 
Maelezo yake hayajitoshelezi, msaidie.

Kulingana na vile nilivyomsoma, amedai kuna sehemu ndani ya colon inayohusika kuchuja mara ya mwisho kipi kiwe taka, na kipi kitumike tena na mwili.

Ndio nawataka nyie madaktari mtuambie, hiyo sehemu ndani ya colon inayotumika kuchuja inaitwaje? hiyo colon haina parts?
Ok Ngoja Nimsaidie Kuelezea Kidogo kwa Kirefu kuhusu hiyo Process.. (Digestion yote ili unielewe zaidi)

Kwanza unapokula Chakula chochote Mmeng'enyo wake Huanzia Mdomoni ambao huwa mechanical Reaction (Kutafuna yaani Mastication) na Chemical Reaction (Enzymes zinazopatikana kwenye saliva "mate")

Hapa ndo hupatikana Chakula Kilichojibumba Kinachoitwa Bolus

Unakimeza Kinapita kwenye Koo la chakula mpaka Tumboni kwa Msukumo unaitwa peristalsis..

Kikifika Tumboni Hivyo hivyo kuna Mechanical Rxn (Vibration and Mixing of Gastric juices and food) na Chemical Rxn (Secretion of Enzymes na HCL , Pepsin Etc)

Sasa Kutokana na Reaction hiyo kile Chakula Bolus hu "change" kuwa Chakula ambacho ni semifluid "chenye Mfano wa Uji" ambacho Huitwa sasa Chyme.
Sasa Hiyo Chyme Huingia kwenye Utumbo Mdogo (Small intestine) ikitokea kwenye Tumbo la chakula (Stomach) na Hufika sehemu ya Kwanza ya Utumbo mdogo Duodenum...

Kwenye Duodenum , chyme imachanganyika na Nyongo "bile" kutoka kwenye Ini na gallbladder (ambayo kazi kuwa Huwa ni kuyeyusha mafuta kwenye Chyme ) na Hukutana pancreatic juices kutoka kwenye Kongosho (ambayo kazi kubwa ni kuendelea Kumeng'enya carbohydrates, proteins, na fats)..

Sasa Baada ya Kufanyika Kwa Digestion ya kutosha au Ya kuridhisha mwili unaamua kuanza Kuabsorb baadhi ya Nutrients..

Na Absorption huanza hapa sasa kwenye Utumbo mdogo kupitia Kuta za (Utumbo mdogo Small intestines) yaani Jejunum and Ileum..
Sasa Nutrients Hufyonzwa (Absorbed) kutoks kwenye Kuta hizo kupitia Villi au Vilus (Umoja) kwenye kwenye damu "bloodstream".

Fatty acids na glycerol hufyonzwa "absorbed" kwenda kwenye lymphatic system kama chyle kupitia lacteals..(hizi ni lymphatic vessel zilizo kwenye Utumbo mdogo katika lymphatic sys..)

Sasa Chyme itakayobaki bila kuchenjwa kuwa chyle na kupelekwa kwenye bloodstream itaingia Kwenye Large Intestine (Colon) na mwanzo kabisa itaingia kwenye Cecum..

sasa kazi kubwa ya cecam ni kupokea Hiyo chyme iliyotokka kwenye ileum na Kunyonya Baadhi ya Maji na chumvi chumvi ambazo hazikufyonzwa kipindi kunafanyika Ufyonzwaji Kwenye Utumbo mdogo..

Ikitoka hapo chyme Inaingia kwenye Ascending Colon sasa hapa ndo maji na Chumvi Hunyonywa kwa Ajili ya kupunguza Ule usemi fluid wa Chyme na kuobadilisha ile chyme kuwa kwenye ugumu ugumu..

sasa kwenye Hatua Hii maji hunyonywa sana na kama kuna fluid nyingine pia hunyonywa na kuinguzwa kwenye Damu kwa kasi kwenye Transverse Colon na kwenyewe absorption inaendelea ila humu pia bacterial fermentation hufanyika..

sasa kwenye Descending Colon hapa ndo sehemu ya Mwisho ya Unyonywaji wa Maji kwa kasi sana na ndo maana Jamaa kama ulimsoma alisema hiyo ndo sehemu ya mwisho na hutumika kuchuka kipi kiwe taka na kipi kiingie kwenye damu..

kwa sababu hapa ndo huingiza Fluid zote za Muhimu kwenye damu na hapa ndo hutengenezwa jina lingine kutoka kuwa Chyme mpaka kuwa Feacal Material au Feaces..


So ni hakika kwamba Unapoweka Fluid kwenye Colon Hufanya Absorption iwe kasi sana Kuliko na ambavyo ukinywa Kupitia Mdomoni na ikapita Process Zote hizo..

Natumanin kwa maelzo hayo marefu umeelewa?
Wako Katika Kukuelewesha..

DR Mambo Jambo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii hii imevuka viwango, sielewi na sifahamu kwa kweli.

Tuwaulize wahusika, mie pombe situmiii, natumia Uboo tyuu.
Nakuitaji Inbox we mtoto kuna kitu nimekumbuka 🤣🤣🤣🤣
 
Sasa munashangaa nini ktk Afrika Tz ni taifa la pili kwa walevi munataka kuwa number one sasa ndio inakuja hiyo ya kutia kwenye tuu.
 
Kuna vitu watu wanabuni mpk unabaki na maswali yasiyo na majibu. Ni hatari kwa kweli.
Hebu walevi watujibu
 
Wewe ulisema ni muislam pombe hutumii so jamaa kakutumia picha iyo ili ujue kuwa muislam sio tiketi ya kuwa malaika bwashee

Bado sijaelewa kuna correlation gani kati ya "MIMI" kuwa muislamu na kutokutumia pombe na kuwa muislamu si kuwa malaika ?? Labda sijaelewa
 
Mbona Arusha na Moshi wanatumia hiyo kitambo tu.
Mkoa wa Arusha na Kilimanjaro utadhani mlango wa shetani uko huko vijana wana ulimbukeni wa kuingia mambo hatari tu... Kwa mara ya kwanza nilishuhudia vijana wanatumia Petro na pia kidonge (sumu ya panya) kama kilevi...
 
MWANAGU KUWA UYAONE.... na bado......wanawekana/nyweshana au kila mmoja sirini.......kama ni ulevi wa fasta si wakule BANGE tuu......huu upinde utaenea kwa style ya ajabu sa
 
Mkoa wa Arusha na Kilimanjaro utadhani mlango wa shetani uko huko vijana wana ulimbukeni wa kuingia mambo hatari tu... Kwa mara ya kwanza nilishuhudia vijana wanatumia Petro na pia kidonge (sumu ya panya) kama kilevi...
Sumu ya panya😳?
 
Things to remind ourself,
Alcohol is among the drug and remember several routes of drug administration including rectal route. Kama vile ambavyo Paracetamol suppositories (dawa ya kushusha homa)inavyoweza kuwa administered by rectal route similarly to alcohol. But in alcohol you can just use the enamax bottle
 

Attachments

  • Screenshot_20240619-155752.png
    Screenshot_20240619-155752.png
    321.8 KB · Views: 2
Enzi nikiwa mdogo,, sijajua mpaka Leo ipo hivyo au ilikuwa stori za kitoto kuhusu maajabu Saba ya Dunia. Miongoni mwa ajabu ambalo lilinishangaza na mpaka Leo kama ndivyo nilione ni bustani inayoelea. Ila sasa hili ajabu Kwa Hali hii silioni la ajabu Tena, kumbe maajabu ndio kwanza bado yanazaliwa
 
Nimekupata sawasawa, Sasa inabid wakishaweka hiyo walale kabisa wasijejiharishia hovyo ka bata.
Hahahaaa. Nimecheka sana. Kumbe ndo mana baadhi ya vijana unawakuta asubuhi-asubuhi mapema tuu, wamelala unashangaa inakuwaje mtu mzima tena kijana damu mbichi analala hivi asubuhi kana kwamba anaumwa au ameridhika na hali yake hana shida. Kumbe anasikilizia dozi ikae sawa sawa?
 
Back
Top Bottom