Wimbi la vijana wengi kutembelea gari za kike

Aisee!
 
Aisee! Huyo mzee aliua.
 
Hujamtajia na zile nyingine za watoto na house maid.
 
Hata ikiwe
hebu tuwekane sawa jamanii, kwani hata kwenye manual ya hao waliotengeneza hizo the so called gari za kike,kuna mahali pamenadikwa for male or female? [emoji2368]
Hata ingekuwepo inamuhusu nin? Kama tu wenye nyumba na wanao panga
Shida iko wapi mtu akiendesha lori, magari makubwa na mwingine aendeshe madogo!
Kwanza gari ya zaidi ya 5M kwa tanzania ni utajiri kabisa
 
Namuunga mkono mleta hoja!

Kiukweli tujibane bane tutembelee gari za kiume kama-
NISSAN X-TRAIL
KLUGGER
NISSAN DUALS
PRADO
SUBARU FORESTER XT
ONGEZEA...yaani unapita nalo maeneo kila mtu anapandwa na mizuka + wazimu.

lakini hizi IST,SPACIO,PASSO,HARRIER,CROWN,ALLION,PREMIO,VITZ,SUBARU IMPREZA etc.. itoshe sasa kuwaachia hawa dada zetu.

RAV 4 + SUZUKI,tuwaachie wazee wetu + walimu wetu wenye makamo + watumishi wa Mungu.

Sikatai kama kipato kinaweza kuwa kidogo,chukua basi hata PROBOX ijulikane wewe ni mtu wa kazi kazi!...sio dume nzima una minywele kila mahali unatembelea VITZ aibu tupu!!
 
Absolutely!
 
[emoji23][emoji23] tuwaachie Watumishi
Chukua Pepsi kwa Mangi Hapo Nitalipia
 
[emoji1787]
Nimecheka kwa sauti.
Yeye atuambie anaendesha gari gani, au ndio wale "bora kupanda daladala kuliko kuendesha baby walker"
Kwahiyo hiyo anayepanda daladala anapanda kaburi la wengi sio
 
tusisahau kuwa kila mtu ana ndoto yake pia..hilo unalosema baby walker kuna mwingne ndo analiwaza lini ataendesha..tusiweke akilini kuwa hiki ni cha wale hiki cha kwetu mmhh tunakosea sna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…