Wimbi la wanawake wanatumia vipodozi vikali nchini, hali itakuwa mbaya miaka mitano ijayo

ile mi make-up dah huwa inanikata kabisa stim unakuta dem pisi haswa ila kajipaka mazaga mdomoni,kope,nyusi,makucha bandia hadi nahisi atanitoboa nayo
gademit...
 
Kitu hawajui wanawake wanaojichubua ni kwamba hata ladha ya asili ya huko chini huwa inapotea,papuchi inakuwa kavu utelezi unautafuta kwa frequency, ukifanikiwa kupiga kimoja cha pili unamuona kama msukule kavamia chumbani kwako.
 
Mafuta unayopaka unanunua wapi hasa ya kondoo
 
Kitu hawajui wanawake wanaojichubua ni kwamba hata ladha ya asili ya huko chini huwa inapotea,papuchi inakuwa kavu utelezi unautafuta kwa frequency, ukifanikiwa kupiga kimoja cha pili unamuona kama msukule kavamia chumbani kwako.
Hee jamani ladha inatokea ndani au nje?
 
Miss Natafuta mimi nadeal na vipodozi na ni caramel
Changamoto kubwa wateja hawanielew kwa sababu mimi siyo mweupe na sijataka kujibadilisha.
Wanaume wanao wanapendelea zaidi wanawake weupe(hivyo wadada wanapambana kuwaplease)
Nawakoroge mikorogo mingine navaa gloves(sababu ya hydroquinone)

Hawajali sana , siku hizi tunawapa mafuta ya maji pamoja na sunscreen kupunguza makali.
Japokua yajayo yanafurahisha.
 
Mengine ni kama mazombi ya kwenye wimbo wa thriller ya Michael Jackson
 
Ahaaa yaani yajayo yanafurahisha kwa kweli
Uzuri WA mkorogo bna mwanzoni unakukubali sio kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…