Wanaiga kuona ni ujanjaVyuoni huko watoto wa kaskazini ni balaa sio wa kike sio wa kiume oyaa!
Siwajui na predect tu 🤣Wataje😂
Kwani sasaiv hapa nina utoto gani nisha vuka ukoNgoja ukue
Ndio mnavyo sema ila kweli ina shida mental processBangi haina shida
Ukisema 'mental process' unamaanisha nini?Mna hararisha lakini ina let dameg kwenye mental process na hili muwe mna lisema
Wavuta sigara wengi akili hawanaJuzi nimekutana na janja mmoja wa mkoani ni jirani alikuwa anavuta alivyoniona akaficha sasa sijui anafake nini.
Ungeandika kwa kiswahili mwanzo mwisho ingekaa powa sana kuepuka aibu ndogo ndogoWhich bangi are talking about labda bangi zenye wanalima pamoj na mboga chainiz kuna bangi na kuna mafyafya
Mchakato wa akili una anzia kufikiri mpaka kutendaUkisema 'mental process' unamaanisha nini?
Bangi haina shida bwashe!Naona wakuu mmeanza kuhalalisha kabisa, ndio maana nikasema uvutaji bangi umekithiri, na nyie mmethibitisha tayari.😀
Ushawahi kutumia bangi? Naomba unijibu ndiyo au hapanaMchakato wa akili una anzia kufikiri mpaka kutenda
HapanaUshawahi kutumia bangi? Naomba unijibu ndiyo au hapana
Vipi kuhusu Pombe?Mna hararisha lakini ina let dameg kwenye mental process na hili muwe mna lisema
Mkuu,ukiona mtu anavuta sigara kisha akaificha baada ya kukuona wewe,tambua kua,mtu huyo anakuheshimu,hiyo ni dalili ya kuheshimiwa na mtu huyo.Juzi nimekutana na janja mmoja wa mkoani ni jirani alikuwa anavuta alivyoniona akaficha sasa sijui anafake nini.
Sigara inaharibu mapafu, bangi inaharibu ubongoBangi inapaswa kuhalalishwa, sigara ni mbaya kuliko bangi.