Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Nje ya mada!Hapana
Hapana ni kutokana na kuandika kwa harakaNje ya mada!
Katika uandishi wako wa mada na kujibu comments mara nyingi umekua na 'typing error' nyingi sana na muda mwingine unakosea kuandika baadhi ya maneno unakuta umevunja kitenzi na kuonekana ni maneno mawili, hivi hii inaweza kua tatizo la 'mental process' maana inahusisha ubongo na mikono?
Ina leta mkuuu mm situmii pombeVipi kuhusu Pombe?
Yenyewe haileti hiyo damage kwenye figo na maini?
Hata kuhisi?Siwajui na predect tu π€£
Mi mpk leo nashangaa watu wnqjichubuaUkiuza duka la vitu aisee utakayoona mpaka utasikitika ni basi TU nafanya biashara Sina namna najionea Siri nyingi..
Watoto wadogo wanavuta sigara balaa Winston na hizi Team na kunywa vinyau hivi vipombe vya elfu 2 pia Wanawake wanajichubua sana kwa Sasa yaani ukimuona mdada mweupe wengi wanatumia extra clair,pretty white,CT,paw paw,caro light na maji yake hizo products
Pia wanaume baadhi wanajichubua..baada ya miaka mitano nawahakikishia tutakuwa na kizazi kibaya zaidi kuwahi kutokea sijui Kuna Nini watu wamedata sio watoto sio watu wazima..me nashangaa hao wanaoua watu na kuteka sijui hawaoni yajayo.
HapanaHata kuhisi?
Kujiona sio wazuri wakiwa weusi.Mi mpk leo nashangaa watu wnqjichubua
Bado sielewi shida ni nn
DuhKujiona sio wazuri wakiwa weusi.
Hapo kwenye kujichubua wengi hujichubua kwa sababu ya wanaume waliowengi inasemekena hupenda wanawake weupe sababu inayofamya weusi wajione hawana thamani mwisho wa siku mtu anajichubua anazidi kuharibuUkiuza duka la vitu aisee utakayoona mpaka utasikitika ni basi TU nafanya biashara Sina namna najionea Siri nyingi..
Watoto wadogo wanavuta sigara balaa Winston na hizi Team na kunywa vinyau hivi vipombe vya elfu 2 pia Wanawake wanajichubua sana kwa Sasa yaani ukimuona mdada mweupe wengi wanatumia extra clair,pretty white,CT,paw paw,caro light na maji yake hizo products
Pia wanaume baadhi wanajichubua..baada ya miaka mitano nawahakikishia tutakuwa na kizazi kibaya zaidi kuwahi kutokea sijui Kuna Nini watu wamedata sio watoto sio watu wazima..me nashangaa hao wanaoua watu na kuteka sijui hawaoni yajayo.
"Black is beauty" ni msemo wa kinafiki kabisa, wakati % kubwa ya wanaume wanapenda wanawake weupe, ndo maana hawa weusi wengi wao wanajichubua.Huenda sababu wengi wana dark skin, wangejua hata wasingefanya huo ujinga. Natural beauty ni nzuri sana, hasa kama mtu anaitunza ngozi yake vizuri.
Kwa upande wa vijana wa kiume, wanavuta sana bangi...hata usiyemdhania anavuta bangi.
Asimilia kubwa ndio ngapi mkuu? Nadharia tu hizo kwamba wanaume wanapenda wanawake weupe, naamini sio kweli!!"Black is beauty" ni msemo wa kinafiki kabisa, wakati % kubwa ya wanaume wanapenda wanawake weupe, ndo maana hawa weusi wengi wao wanajichubua.
Lol
ππππ ila Mwachi, mbna aibu ndogo ndogo Zina epukika.Mchakato wa akili una anzia kufikiri mpaka kutenda
Ni kweli wanaume wengi wanapenda wanawake weupe na ndio maana wengi wameona wajichubue ili waepuke maneno kama kuitwa majina cheusi dawaπ kuna sehem niliwahi kufanya kazi wanawake wote walikua weupe kasoro mimiAsimilia kubwa ndio ngapi mkuu? Nadharia tu hizo kwamba wanaume wanapenda wanawake weupe, naamini sio kweli!!
Aonekane na wanawake.Hivi mwanamke anapojichubua bila shaka anataka kuwa mweupe aonekane na wanaume,ila sijajua mwanaume anapojichubua huwa anatafuta nini,nisaidieni kwenye hili wajameni
We baba taratiibu wa Njombe tumeingiaje hapo? πΉπΉWanawake wa Mbeya, Songwe, Njombe na Iringa wanaongoza kujichubua wakifuatiwa na wa mikoa ya pwani.
Acha uongo wako hapa!Asimilia kubwa ndio ngapi mkuu? Nadharia tu hizo kwamba wanaume wanapenda wanawake weupe, naamini sio kweli!!
πππππWe baba taratiibu wa Njombe tumeingiaje hapo? πΉπΉ
ππππππNi kweli wanaume wengi wanapenda wanawake weupe na ndio maana wengi wameona wajichubue ili waepuke maneno kama kuitwa majina cheusi dawaπ kuna sehem niliwahi kufanya kazi wanawake wote walikua weupe kasoro mimi