Uchaguzi 2020 Wingi wa wagombea CCM ni uthibitisho kazi nzuri ya Rais Magufuli kwa taifa letu. Je, Oktoba ni kuchagua au kuthibitisha tu taratibu?

Ni utahira kumpa tena mtu atuharibie nchi, utadhani hatuwezi wengine
 
Kuirudisha ccm again ni sawa ni kurudisha mateso yetu again 5 yrs.Kuwarudisha wasiojulikana watuumize zaidi.
Tumchague mtanzania mwenzetu Safari hii
 
Ukosefu wa ajira umepelekea kuwa na wagombea wengi,ndo njia rahisi ya kuwa tajiri iliyobaki.
 
Attachments

  • Screenshot_20200716_082053.jpg
    50.3 KB · Views: 2
Kuirudisha ccm again ni sawa ni kurudisha mateso yetu again 5 yrs.Kuwarudisha wasiojulikana watuumize zaidi.
Tumchague mtanzania mwenzetu Safari hii
Mtanzania mwenzenu ndio yupi huyo? Kaa ukijua ruffneck ni lazima hata mkimchagua malaika, msiyempenda ndio raisi!
 
RUBBISH! Asiyekujua kama wewe ni Mzee wa KUJIKOMBA ili kutafuta TEUZI ni nani? Huu uhuni na udikteta wa miaka mitano ndiyo unaita kazi nzuri? SHAME ON YOU!
 
Hao wanakimbizana na kauli ya mwenyekiti kuwa we gombea tu ukikosa kuna nafasi za uteuzi.
 
RUBBISH! Asiyekujua kama wewe ni Mzee wa KUJIKOMBA ili kutafuta TEUZI ni nani? Huu uhuni na udikteta wa miaka mitano ndiyo unaita kazi nzuri? SHAME ON YOU!
Kuna nafasi zipo wazi za hawa walioachia kwenda kugombea ubunge,so anafukuzana nazo
 
Sio kweli wanakimbilia eti kisa utendaji Mzuri wa Raisi, bali ile kauli ya Hakuna kutangaza mpinzani kashisha, kwahiyo wenge wanakimbilia wakatangazwe, hakuna kingine ni kutimiza ndoto ambazo hawakuwa nazo kwa sababu ya ukandamizaji wa haki.
 
RUBBISH! Asiyekujua kama wewe ni Mzee wa KUJIKOMBA ili kutafuta TEUZI ni nani? Huu uhuni na udikteta wa miaka mitano ndiyo unaita kazi nzuri? SHAME ON YOU!
Uchaguzi wa uchafuzi wa serikali za mitaa, ndio matokeo ya kinachofanyika kwa watia nia wa ccm kuwa wengi ktk Jimbo moja..

Ni ujinga's tu
 
Uchaguzi wa uchafuzi wa serikali za mitaa, ndio matokeo ya kinachofanyika kwa watia nia wa ccm kuwa wengi ktk Jimbo moja..

Ni ujinga's tu
Nawaonea huruma sana wanachama wa chama cha Mbowe, Mtatafuta kila sababu au kulaani au kuficha mafanikio ya Mkullu.

Lakini kazi ya mkono wa Mkulu umerahisishiwa sana wogombea Ubunge Ubunge kwa CCM mwaka huu, kama lowassa alivyo warahishia wengine mamyumbu mwaka 2015.
 
Ucwe zumbukuku ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…