Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
Bro ila huna bahati mkuu, yatosha tu kufikiri kwamba nyota yako ni ya punda ha ha haa.. Pascal Mayalla kachukue wakikuuliza waambie mimi ndiye nimekutuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni utahira kumpa tena mtu atuharibie nchi, utadhani hatuwezi wengineRais ajaye anakazi kubwa sana! Itabidi tumsamehe kipindi cha miaka ile mitano ya kwanza hata asipofanya maendeleo yoyote! Ana kazi ya kurejesha mifumo kama ilivyo kwenye kanuni za uongozi wa nchi! Watanzania tumeamua kumwachia mtu mmoja ndiye aamue mwelekeo wetu kama taifa na katika hili wala hatujiulizi je mtu huyo tunayemwamini ana akili timamu? Watz ipo siku tutatumia akili ya taahira!!
Mtanzania mwenzenu ndio yupi huyo? Kaa ukijua ruffneck ni lazima hata mkimchagua malaika, msiyempenda ndio raisi!Kuirudisha ccm again ni sawa ni kurudisha mateso yetu again 5 yrs.Kuwarudisha wasiojulikana watuumize zaidi.
Tumchague mtanzania mwenzetu Safari hii
Tamaaa ya ajira tu.Ukosefu wa ajira umepelekea kuwa na wagombea wengi,ndo njia rahisi ya kuwa tajiri iliyobaki.
Kuna nafasi zipo wazi za hawa walioachia kwenda kugombea ubunge,so anafukuzana nazoRUBBISH! Asiyekujua kama wewe ni Mzee wa KUJIKOMBA ili kutafuta TEUZI ni nani? Huu uhuni na udikteta wa miaka mitano ndiyo unaita kazi nzuri? SHAME ON YOU!
RUBBISH! Asiyekujua kama wewe ni Mzee wa KUJIKOMBA ili kutafuta TEUZI ni nani? Huu uhuni na udikteta wa miaka mitano ndiyo unaita kazi nzuri? SHAME ON YOU!
Uchaguzi wa uchafuzi wa serikali za mitaa, ndio matokeo ya kinachofanyika kwa watia nia wa ccm kuwa wengi ktk Jimbo moja..Wanabodi,
Tunapoelekea kwenye hatua ya kwanza ya uchaguzi kwa uchukuaji wa fomu za kugombea kwenye vyama vya siasa, kumejitokeza, uwingi wa mkubwa, wa wagombea kupitia CCM. Huu ni uthibitisho wa kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na Rais, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na awamu yake ya 5, na inayoendelea kufanywa kwa taifa letu la Tanzania, ikiwemo kupambana na rushwa, kuongeza uwajibikaji, kupaisha maendeleo ya nchi kwa maendeleo makubwa ya kuonekanika katika baadhi ya sekta, ikiwemo kulifufua shirika la ndege la Tanzania, ATCL, kujenga SGR, Stigler, barabara za juu kwa juu, elimu bure, kujenga Tanzania ya viwanda, kuiingiza nchi yetu kuwa ni nchi ya uchumi wa kati na mengine mengi makubwa mazuri, kulikopelekea Watanzania wengi wakiwemo wapinzani kumkubali JPM na kuikubali CCM, hivyo kuunga mkono juhudi kwa kumpenda JPM, kumkubali, na kuipenda CCM na kuifanya kukubalika sana, hivyo kwenye uchaguzi wa mwaka huu, kujikuta watu wengi kujitokeza kwa mamia kugombea jimbo moja mfano jimbo la Kawe, ili tuu kumuunga mkono rais Magufuli na kujitokeza kumsaidia.
Swali ni jee uchaguzi wa October ni uchaguzi wa kuchagua kwa kushindanisha vyama au kushindanisha wagombea, au ni tunakwenda tuu kwenye uchaguzi kuithibitisha tuu ushindi wa kishindo wa CCM, ambayo tayari imeishashinda uchaguzi Mkuu huu mioyoni mwa watu, na uchaguzi ni kwa ajili tuu ya kukamilisha taratatibu za uchaguzi, au kutakuwa na ushindani wa kweli wa kisiasa au CCM tuu huku ikisindikizwa na vyama vingine?.
Angalizo:
Wakati hata mimi nikiendelea kujishauri na kujiuliza, ndani ya siku mbili hizi, kama na mimi nijitose au laa, naomba kuwapa angalizo dogo, kuwa sio kila anayejitokeza kuchukua fomu kugombea ubunge au udiwani kupitia CCM, yuko very serious kugombea ili kupata ubunge au udiwani!, kuna baadhi wanagombea kwa sababu nyingine kabisa kadhaa wa kadha na wala sio kuutaka ubunge, udiwani au uwakilishi wa wananchi. Hivyo naombeni sana, mkisikia na mimi nimejitosa, msishangae!.
Kwa vile hili la kazi nzuri ya Rais Magufuli niliisha lizungumza humu tangu ile 2015, mara tuu baada ya uchaguzi, nikizungumzia uchaguzi Mkuu huu wa 2020, na sasa hii ndio 2020 yenyewe na uchaguzi wenyewe ndio huu, kuna haja ya kujikumbusha tu ile 2015 nilisema nini kuhusu Magufuli na uchaguzi wa 2020, na sasa hii 2020 ndio hii, nini kinatokea...
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Na October yenyewe ndio hiyo inakuja, iko just around the corner, jee sasa tunakwenda kwenye uchaguzi kuchagua au ni kwenda tuu kuithibitisha kazi nzuri ya JPM na CCM tuu ili aendelee?.
Paskali
Nawaonea huruma sana wanachama wa chama cha Mbowe, Mtatafuta kila sababu au kulaani au kuficha mafanikio ya Mkullu.Uchaguzi wa uchafuzi wa serikali za mitaa, ndio matokeo ya kinachofanyika kwa watia nia wa ccm kuwa wengi ktk Jimbo moja..
Ni ujinga's tu
Alafu anayeleta huu uzi ni mtu mzima tena eti anategenewa na familia!Kwenye ngazi ya Urais walikuwa wangapi?
Nawaonea huruma sana wanachama wa chama cha Mbowe, Mtatafuta kila sababu au kulaani au kuficha mafanikio ya Mkullu.
Lakini kazi ya mkono wa Mkulu umerahisishiwa sana wogombea Ubunge Ubunge kwa CCM mwaka huu, kama lowassa alivyo warahishia wengine mamyumbu mwaka 2015.