Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!



Chawa keshamgeuka bocy wake
 

Unajua ulichoandika? Na hoja ya Pascal?
 
Ni Prof Mbele, si Mbena
 
wewe Paskali ulishasema anafaa kuwa President huyu! hebu tema mate chini bana!

hizi aibu hizi hakuna anyezitaka!

Alikaa dar es salaam vhininya babayake Nduli yule mbona barabara hazikujengwa mji wote? zaidi ya flyover tu na barabara chachee! kungine ni mashimo ukisafiri unabeba na chakula njiani! kama jimbo la ukonga ni aibu
 
Wewe teuzi tushakupa ni MWANDISHI WA JAMII FORUM ....... DC WA WILAYA YA JAMII FORUM.....
Hata uandike vipi huji TEULIWA KOKOTE ZAIDI JAMII FORUM
 
Pascal Mayalla , yes tunategemea thinking kama hizi toka kwako! Hapa umeandiki sense tupu. Great Mayalla kwa hili!
 

..mkutano ule nadhani hauna vigezo vya kuitwa mkutano wa wazi.

..pale kulikuwa na watu wako meza kuu na baadhi yao wana nguvu za dola nyuma yao.

..katika mazingira kama yale mwenye nguvu za dola na anayekaa meza kuu hoja zake hupitishwa hata kama ni za hovyo.
 
Mr. English,here we go.
I thought you understand the clear meaning of bullying or intimidation....if yes then as a leader you don't need to destroy ones' personality on any basis....whatsoever for any case.

From the video,that is far behind a direct attack and assault....
Kuna vikao vya kuwajibisha wataalam kama hao sio hivi vya wana siasa.

Bwana Tarura anajibu kitaalam , ndugu makonda anajibu kisiasa ....lazima tu watuchanganye.
 
Ila wabongo kiboko asee dah!

Leo hata wewe NJAA unasimama kwa ukali unamsema Magu?

Kweli mtu ukifa unakufa na yako yote. We si ulikuwa mmoja wa timu chawa pro wa kusifu na kuabudu kila kitu
Huyu hajielewi au itakuwa anatumika. Hivi ndivyo nchi ilivyotakiwa kubadilishwa
 
Absolutely right from your point of view. Huna baya tajiri ukifa dhambi zako wagawiwe wakuria wote.
 
Hizo ndio khulka za watu wa hii nchi, cha ajabu wengi hapa watakuja na watakushangaa wewe. Kudhalilishana wao wanaona ni jambo lakawaida sana
Wewe unaona sawa kiongozi anaulozwa kuhusu Halmashauri yake, hata taarifa anajiumauma tu. Lazima atumbuliwe. Hii style ndo ilifaa sana coz viongozi walijisahau na kutowajibika
 
then where is the sense of bullying coming from, if the gentleman anajibu kitaalamu? can mtaalamu be bulled or intimidated by none mtaalamu na akawa confused?πŸ’

able civil servant, who is responsible for anything, anywhere, must take ownership, control and authority over every activities delegated to them. and effectively with efficiency be aware on the status over it, and be ready to explain and communicate it at any time to the publics, through members of press or whatever πŸ’

understanding what is bullying or intimidations remains at your own perceptions and definition freely πŸ’
 
Unajua ulichoandika? Na hoja ya Pascal?
ndugu mwanainchi,
unaniuliza tena mimi niliekwisha toa maoni yangu?πŸ’

swali lako kwangu, si ndio bullying na intimidations tunayoongelea hapa 🀣

mimi nimewajibika kutoa maelezo yangu huru kadiri nionavyo, wewe una hoji bila kuelezea yako kwa angle yako. si useme tu unaunga mkono hoja ya mtoa hoja πŸ’
 
Project hazikamiliki kwa sababu ya hao wanasiasa,na wala sio hao watendaji..
na for your information projects hazikamiliki kwa katiba pia.

we need responsible, accountable, committed and able civil servant to plan, organize and supervise the implementation of development programs and projects, effectively and efficiently in regards of laws, quality and value for money. Full stop πŸ’
 
Mkuu sisi tusha sema ukwa unaona kama tuna chuki na huyu ndugu yako. Huyu jamaa frustrations zake
πŸ“πŸ‘ŒπŸ‘πŸ‘πŸ€πŸ‘ŠπŸ™πŸ†’
 
Piere alikiwa mtu wa hovyo kweli kweli wala hilo halina ubishi!
 
kwamba muwakilishi wa Rais eneo husika asimuwakilishe Rais kwenda kukagua mipango na miradi ya kimkakati katika eneo mahalia mpaka Rais mwenyewe au hiyo Katiba imkataze hata Rais kwenda kukagua miradi hata kama imeborongwa basi iachwe hivyo hivyo, right?

kuna siasa gani na kampeni ya nini?

unahoji kazi za baraza la madiwani ni nini tena, si uelezee kisha uelekezwa 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…