Wito kwa Watanzania kumfata Sheikh wetu Ponda Issa Ponda kwa kukiunga mkono chama cha ACT wazalendo

Pitia clip hii kisha njoo ukoment tena.

Hata mimi nilikuwa nawaza kama wewe kabla


View: https://youtu.be/jRs0x2t5pqM?si=hK3na0tyI3Pz5rrY
Sasa hapo logic yako ni nini au ndiyo yake tunayo yasikia kwa mashekh wapumbavu wanao sema tunyamaze tu kisa kuna mabaya kama hayo yakitendwa siku za nyuma watu wakanyamaza ...maana hoja za mashekh wa Tanzania hazina tofauti na maanithi wa akili ...wanawaambia watu kuwa wasipinge dhuluma kisa kuna mashekh walidhulumiwa ...au wasikemee mauaji kisa watu waliwai kuuliwa,mwembe chai ...tukisema waislamu ni wapumbavu mnasema tunatukana ....
 
Hao wote nawajua
Kwa hyo wabunge huko wa ccm waislam hawatakiwi siyo

Ova
Ni Kweli.

Wengi wenye majina ya kiislam ni wafuasi wa Ujamaa. Na wapo kwa ajili ya kupigania imani ya Ujamaa ituongoze.

Binafsi mimi nitapendekeza ktk ilani ya ACT isomeke, ACT inasimamisha Taifa Moja, Imani Zote, Chini ya Mungu. One Nation under God
 
Kwa jinsi jamaa walivyojipanga mwaka huu vyama vinavyoshiriki
Wakitegemea kupata wabunge wasahau

Ova
Vyama vinavyo shiriki vipo kwenye project ya samia na mafisadi vinatumika dhidi ya HAKI
 
Vyama vinavyo shiriki vipo kwenye project ya samia na mafisadi vinatumika dhidi ya HAKI
Kabisa,mleta uzi asiwe serious sana maana uchaguzi huo ni boshen tu

Ova
 
Baada ya misukosuko mingi hatimaye Ponda anaenda kuwa mbunge wa bunge la JMT. Je, ataendeleza makali yake au ndio kula nyama unyamaze? Tusubiri.
 
Ili tusiumize akili zetu kwa aina ya akili za Watz kama wewe badala ya wito huu kuutoa kwa watz, tuliwalenga Waislam
 
Siyo kwa uchaguzi huu lakini mkuu

Labda mlinde kura kesheni vituoni

Ova
 
Baada ya misukosuko mingi hatimaye Ponda anaenda kuwa mbunge wa bunge la JMT. Je, ataendeleza makali yake au ndio kula nyama unyamaze? Tusubiri.
Tutahumukumu baada ya kufika bungeni. Kwasasa tumuunge mkono na tuunge ACT MKONO
 
Wacha ubishi wewe waislamu awana akili ...au nitajie muislamu mmoja tu tanzania mwenye akili hata huyo ponda angekuwa na akili asinge weza kugombea uchaguzi 2025
Ili tusiumize akili zetu kwa aina ya akili za Watz kama wewe badala ya wito huu kuutoa kwa watz, tuliwalenga Waislam
 
Siyo kwa uchaguzi huu lakini mkuu

Labda mlinde kura kesheni vituoni

Ova
Tunairudisha NGANGARI ile ya wakati wa UKAWA.

Kosa kubwa la upinzani mwaka huu atatupiwa chadema, baraka ya kutaka mjadala na vyama vingine vya upinzani akadhani anajitosheleza. Lkn hawakuangali kwa jicho la tatu hasa kule znz.

Kule fisi haachiwi bucha. Kwa hiyo kama wapinzani hatujachelewa. Tuliingeze jukwaa la dini zote ktk harakati za ukombozi. Shekhe Ponda katangulia mbele kwasasa
 
Siyo kwa uchaguzi huu lakini mkuu

Labda mlinde kura kesheni vituoni

Ova
Hata wakikesha awawezi kushinda kwa sababu wote wanao ipinga ccm asilimia 90 awataenda kupiga kura ...hivyo wapiga kura watakuwa wanaccm tena wachache tu maana watalazimishwa kupiga kura kwa kuambiwa kuwa wasipo piga kura hawata patiwa vibuku 7 na huduma za mikopo ...ila hata hivyo vituo vitabaki empty siku hiyo ....
 
Sheikh anaingia moja kwa moja siasani kwa mentality ya kutetea waislam, hapa atachemka tu, hii nchi si ya siasa za makundi ya kidini. Nchi ni ya wananchi wote wa tanzania. Ndio maana wananchi wanaiamini sana CCM, wanaona si chama cha kidini na wanaona bora kiendelee kutawala daima kwa kuwa hakina sera za kutetea dini fulani kuwa inakandamizwa, madai ya kipumbavu na kukosa akili
 
Sawa Ndugu. Wito huu ni wa hamasa wa kuamsha Bongo za waliolala, waliochoshwa. Kuwa kwasasa tumepata tumaini jipya kwa kumtanguliza mbele mtu ambae alishapigwa risasi, na alishakufa jana, kanyooka.

Ni mtu ambae alisababisha Mzee Magufuli kuacha kampeni mwaka 2020, na kwenda kusaka uchaguzi kwa nguvu ya dola.

Sheikh Ponda pekeake ni Taasisi. Ana ushawishi Mkubwa sana. Tusubiri tu kupenga kipulizwe
 
Kwa hiyo una amini Sheikh ponda ni bora kuliko JPM ?🙄 swali je rais asiye na sifa kama za JPM anawezaje kuwa rais bora nchini ?
 
Umesema kweli, wananchi wanaipenda sana ccm, mama yetu kafanya mambo makubwa sana ktk kipindi ufupi. Na ukweli anapendwa sana na watz wote. Sasa waambie maccm kuwa waandamane kutaka marekebisho ya tume ya uchaguzi sawa na matakwa ya muhimu ya kurekebisha. Mwambie polisi, jeshi, mahakama itende haki na imwachie mpinzani wake Lisu.

Si anapendwa, shida ni nini. Kwanini tunaingua uchaguzi huku Samia kuchagua refa, uwanja, huku Lissu kamfunga pingu goloni.
 
Kwa hiyo una amini Sheikh ponda ni bora kuliko JPM ?🙄 swali je rais asiye na sifa kama za JPM anawezaje kuwa rais bora nchini ?
Ninaamini kuwa Sheikh Ponda alikuwa na ushawishi Mkubwa kuliko JPM.
Ndio maana JPM akaona isiwe tabu. Chapisha Kura, weka tiki, gawa ktk majimbo, polisi tangaza matokeo, hakuna haja ya kusaini fomu ya matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…