Mtu awezi kuamini muhammad ni mtume wa kweli wa mungu mtakatifu na uislamu ni dini takatifu ya mungu kisha mtu huyo akawa na akili kichwani ...waislamu wenzio hapa JF walibisha nilikuja na hoja kuhusu uislamu wamekimbia JFWalau umejitahidi kuleta majibu kiaina
Au kwa lugha rahisi kabisa ni kuliweka kila jambo mahala pake
Sasa umekuja na hitimisho kwamba waislamu wote hawana akili
Leta mifano ya mambo au masuala ambayo wewe kwa mtazamo wako unaona kwamba waislamu wote hawana akili
Yaani unamaanisha utawala wa SHARIA?Walio tayari Kuunda Taifa Moja, Imani Zote chini ya Mamlaka ya Mungu. BUILDING A ONE NEW NATION UNDER GOD
Hii ni mada nyingine tena ya kitoto sana kwa mtu kupoteza wakati na muda kujadiliana na weweMtu awezi kuamini muhammad ni mtume wa kweli wa mungu mtakatifu na uislamu ni dini takatifu ya mungu kisha mtu huyo akawa na akili kichwani ...waislamu wenzio hapa JF walibisha nilikuja na hoja kuhusu uislamu wamekimbia JF
Si umesema kwanini nasema waislamu wote wapumbavu jibu ndiyo lioo haoo ..siyo mada moya ..kama unaweza kutetea niambia tuanze kushusha nondoHii ni mada nyingine tena ya kitoto sana kwa mtu kupoteza wakati na muda kujadiliana na wewe
Ishu ilikuwa ni madai ya haki au ambayo yanahusiana na siasa,sasa mbona unaleta mambo mengine expert wangu?
HowHawa ndugu zetu wanakuwaga wapumbavu sana.
Bahati mbaya sana mimi sio mtu ambaye unaweza kunitoa kwenye reli kirahisi sanaSi umesema kwanini nasema waislamu wote wapumbavu jibu ndiyo lioo haoo ..siyo mada moya ..kama unaweza kutetea niambia tuanze kushusha nondo
Duh!..Samia ni mwanamke, na matakwa yetu Rais Mwanamme, sahihi awe mkristo au Muislam wanamme na si Muislam Mwanamke.
Haya matakwa ya imani yetu
Tazama hata viongozi je ulisha wai kuona muislamu mzalendo kwa taifa ? Je ni marais gani kati ya tulionao ambao watoto wao wanatumia vyeo vya wazazi wao kufanya udhalimu na wakitajwa basi wanatajwa kwa mambo maovu ....je msemo wa baba fisadi mama kahaba watoto wanauza ngada una fiti kwa maraisi gani hapa tanzani waislamu au wakristo..? Kwanini mafisadi na mabeberu ya kikristo na kiarabu yalisema bora nchi ya Tanzania iongozwa na waislamu kuliko wakristo ? Ni marais wa dini gani waoio kuwa maadui wa siasa za kijamaa na kizalendo? Hiz8 ni dondoo tu ukitaka logic zaidi utaoewaBahati mbaya sana mimi sio mtu ambaye unaweza kunitoa kwenye reli kirahisi sana
Kitendo cha kuhama kwenye hoja ya msingi na kuleta upuuzi mezani ni ujinga
Kama upo tayar kuendelea na hoja ya msingi tuendelee kwa kujibu swali langu
Sasa umekuja na hitimisho kwamba waislamu wote hawana akili
Leta mifano ya mambo au masuala ambayo wewe kwa mtazamo wako unaona kwamba waislamu wote hawana akili
Kama huna tuagane
Expert wangu nasikitika kusema kwamba huku sio kujadiliana bali tunapigiana makeleleTazama hata viongozi je ulisha wai kuona muislamu mzalendo kwa taifa ? Je ni marais gani kati ya tulionao ambao watoto wao wanatumia vyeo vya wazazi wao kufanya udhalimu na wakitajwa basi wanatajwa kwa mambo maovu ....je msemo wa baba fisadi mama kahaba watoto wanauza ngada una fiti kwa maraisi gani hapa tanzani waislamu au wakristo..? Kwanini mafisadi na mabeberu ya kikristo na kiarabu yalisema bora nchi ya Tanzania iongozwa na waislamu kuliko wakristo ? Ni marais wa dini gani waoio kuwa maadui wa siasa za kijamaa na kizalendo? Hiz8 ni dondoo tu ukitaka logic zaidi utaoewa
Kwa hiyo na neno mzalendo ujui ...unanisumbua bure ...umekimbia hoja ya akili na kipimo.chake baada ya kukuambia kipimo.cha akili.ni LOGIC sasa unakuja kuuliza tena uzalendo ...hata tazama tofauti ya mzalendo na asiye mzalendo hapaExpert wangu nasikitika kusema kwamba huku sio kujadiliana bali tunapigiana makelele
Nyosha maelezo hoja moja baada nyingine,hoja ya kwanza unaamaanisha nini unaposema hujawahi kuona raisi muislamu mzalendo?
Expert nakukumbusha tena huwa huwezi kunitoa kwenye reli kirahisiKwa hiyo na neno mzalendo ujui ...unanisumbua bure ...umekimbia hoja ya akili na kipimo.chake baada ya kukuambia kipimo.cha akili.ni LOGIC sasa unakuja kuuliza tena uzalendo ...hata tazama tofauti ya mzalendo na asiye mzalendo hapa
Hakuna rais muislamu mzalendo kwenye nyanja yoyote ..video nimeku postia mfanoExpert nakukumbusha tena huwa huwezi kunitoa kwenye reli kirahisi
Ni raisi gani muislamu sio mzalendo katika nyanja ipi
Mimi mwenyewe unanichosha kwa blabla zako
Ngoja nikuvumilie hivyo hivyo na bla bla zako,nitarejea kwenye video zako,nitachukua kama ndio hoja zakoHakuna rais muislamu mzalendo kwenye nyanja yoyote ..video nimeku postia mfano
ama magu aliongea kisiasa mbona hadi anakufa kaacha umhuo mfumo unafanya kazi na hapo samia anathibitisha kuwa umeme ni elfu 27 ...utetezi wako unadhihil8sha ninacho sema waislamu wote ni wapumbavu tofauti na wakristo baadhi ndiyo wapumbavu sifa za mpumbavu ni unafiki ,uongo , na ufisadi wote.Ngoja nikuvumilie hivyo hivyo na bla bla zako,nitarejea kwenye video zako,nitachukua kama ndio hoja zako
Kwanza umeonyesha ujinga mkubwa kwa kusema waislamu wote hawana akili,lkn kumbe unazungumzia Maraisi,je waislamu wote ni maraisi?
Next time usikurupuke kwakuwa tu unauwezo wa kuandika
Hoja ya kwanza kutokana na video, ni Marehemu Magufuli anazungumzia kuunganishwa umeme kwa gharama ya shilingi 23,000
Ukweli ni kwamba gharama hizo haziendani na uhalisia,hizo gharama ni za umeme wa kule vijijiji
Kuweka tu umeme ndani bila kuvuta nguzo,kwa maana nguzo ipo hapo karibu inazidi 23,000
Huyo saveyer tu unalipa 50,000,bado luku
Kwahiyo kwa mifano hiyo utaona Magu aliongea kisiasa zaidi
Na ndio maana watu wengi walicheleweshewa kupata huduma hiyo
Je, hapo utamlaumu Mama Samia?
Hoja ya pili kutokana na video yako
Kwamba Magu alisema nchi inakopa,je Mkapa hakukopa? Je Mkapa hakubinafsisha mashirika ya umma?
Okay je kukopa ni kubaya au namna ya kutumia mkopo huo ndio kubaya?
Kama tunakopa na hatutumii kwa malengo husika basi tunafanya makosa kama nchi lakini usiseme eti maraisi waislamu hawana uzalendo