Wito wa Religious Tolerance: Usikosoe jambo lolote ambalo si imani yako!

Lakini nadhani wa kwenye bible au biblia ni yesu au jesus na kweny quran ni Issa bin mariam
Au ni mmoja katika vitabu viwili vya nyakati mbili tofauti?
 
Waislamu wapuuzi sana eti majini ni viumbe vya Mungu
 
Uislamu umeanza lini na ilianzishwa na nani
 
DINI zisiwe chanzo cha sisi kuchukiana na kutukanana, mbona MABABU zetu walikuwa wakiabudu Mibuyu na Mizimu na walikuwa wanaelewana bila shida.
 
YESU NI MUNGU kama hutaki jinyonge.
 
Wee mwehu kweli kwani ndani ya korani yenu kuna mahali pameandikwa Yesu? Acheni kujikomba kwa kukabambikizia hako kamtume kenu kuwa ndiye Yesu!
 

Waandike mambo yanayohusu kanisa , Mambo ya serikali yanawahusu kitu gani ? Serikali si ya Yesu wala Paulo
 
Wee mwehu kweli kwani ndani ya korani yenu kuna mahali pameandikwa Yesu? Acheni kujikomba kwa kukabambikizia hako kamtume kenu kuwa ndiye Yesu!
Kwani biblia ambayo hiyo biblia yako ilitafsiriwa kuna jina la Yesu ?
 

Kuna watu ni fake wa mioyo na roho. wamejificha kwenye udini. Hata wakikutukana, unachoweza kuwasaidia ni kuwadharau.
TEC hawakuandika waraka wa kuwakataa waislamu. Waliandika waraka wa kukataa ule mkataba wakionyesha mpaka vipengele vinavyokinzana na sheria zetu za sasa.
Ila sababu ni TEC, wenye akili ndogo, wanaona hapo ndio pa kudharau na kutukana dini za watu wengine. Waacheni wahangaike na dunia...
 
Waandike mambo yanayohusu kanisa , Mambo ya serikali yanawahusu kitu gani ? Serikali si ya Yesu wala Paulo
nani kasema bandari ni mali ya serikali? Bandari ni mali ya watanzania. TEC ni sehemu ya watanzania. Kuna wakati watu wachache lazima wasimame kuwatetea wengi, ikiwemo wewe na wengine wanakokuhusu.
 
Biblia inahusishwa na Yesu ambae ni mtume kwaa Waislam, kwa hiyo mimi nnahaki ku "refute" mambo anayposingiziwa Mtume wa Kiislam, kumbuka hilo.
Kwani Yesu anayetajwa kwenye biblia ametajwa kwenye kitabu cha waislamu "Quran"?
Taarifa za Yesu wa kwenye biblia zinatofautiana na Isa wa kwenye Quran kuanzia kuzaliwa kwao na mambo mengine mengi.
Mfano Biblia inasema Yesu amezaliwa kwenye hori la kulishia ng'ombe, Quran inasema Isa amezaliwa chini ya mtende, n.k.
Biblia imekuwepo kabla Quran haijaandikwa kwa hiyo wanaoamini Biblia hawana sababu ya kumhusisha Yesu wa Biblia na Isa wa Quran.

By the way, nakupongeza Pascal Mayalla kujitahidi kuongelea mtazamo wako juu ya sakata la bandari bila kuzidiwa na hisia za kiimani.
 
Biblia siyo kitabu cha Mungu, hata biblia yenyewe haijuwi kama inaitwa Biblia. Hotolikuta neno "biblia" ndani ya biblia, ni uzushi tu.
Wakuu, wewe Faiza Foxy na Paskali Mayalla lenu moja mnataka kutulazimisha tuwaze mambo mengine Nje ya kujua mustakabali wa hatima ya Mkataba ama Makubaliano juu ya Bandari zetu na DP World.

Siungi Mkono mbinu yenu hii . Nashauri wote wenye Nia njema na Tanzania kwa ajili ya kizazi cha Sasa na vijavyo tusikubali kuingia kwenye unaoonekana mtego muovu ambao unaandaliwa na Ndugu zetu hawa (Paskali na Faiza).

Tusishiriki kurumbana kwa msingi wa kidini kama kina Faiza na Paskali wanavyofanya!!

Asante
 
Kama Dini haitaki kukosolewa na watu wa dini hawataki kukosolewa na wakae na Dini zao Huko majumbani mwao.
Makelele ya muziki ya Makanisa na adhana za misikiti hatutaki.

Hatutaki kushawishiwa kuhusu Mungu wa dini Fulani na hadithi au hoja zao kama hawataki kukosolewa.

Kikawaida ukweli unavumilia Ila Uongo hauvumilii.
Upendo unavumilia chuki hauvumilii.

Kama Dini haivumilii kukosolewa dini hiyo ni yauongo.

Tunapoelekea hizi dini zitakuwa kama shule za maadili tuu na kila Jambo litarudi sehemu yake kama lilivyopangwa.
 
🀝%πŸ’― congratulation πŸ“ŒπŸ”¨
 

Jifunze kuficha ujinga wako itakusaidia sana bishana kwa hoja sio kwa jazba na mihemko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…