Wito wa Religious Tolerance: Usikosoe jambo lolote ambalo si imani yako!

1) Waislam hatutazami utajiri au umasikini au rangi ya au utaifa wa mtu kuwa ndiyo ubora wake, Kiislam mbora kati yetu ni mcha Mungu . Kumbuka hilo.

2) Kuhusu shuke shule labda huelewi hata neno madarasa kalianzisha nani na wala huelewi chuo kikuu cha kwanza duniani kakianzisha nani. Fanya utafiti utanielewa. Msome kidogo Fatima SAlFikhri. Bila kukupeleka mbali sana, kasome tu historia ya Dar Es Salaam, na Ikulu hii ya Dar unayoijuwa wewe, ilikuwa nini ile na iliansisha na nani na ilikuwa inaitwaje?

3) Kuhusu hospitali pia, hue;lewi nani aliianzisha unayoiita wewe hospitali leo hii duniani.

Nna uhakika hata huelewi aliyeianzisha unayoiona leo inayoitwa Muhimbili hospital, bila kwenda mbali.


Ndugu yangu Uislam ndiyo uliyokuletea wewe kitu kinachoiwa ustaarabu, unaelewa maana ya "ustaarabu"?

Kama hiyo haitoshi, kwa kukuongezea tu, kamsome kidogo Aliko Dangote ni nani?

Pole sana.

Sasa nikufurahishe kidogo kwa hii clip, upate cha kuongea:

Your browser is not able to display this video.
 
Mjinga mkubwa wewe, Dangote ni mtanzania? ongelea Tanzania, eti Ikulu yule mwarabu alikuwa ni mtanzania? UDSM ukienda 75% ya wanafunzi ni wakristo, chuo kipo Dar na Dar ni ya wazaramo tafuta pale wazaramo kama wanafika hata 50 wengi ni watu wa kuja kutoka mikoani, Dar sahivi imetekwa na wakinga na wachaga nyie mnazidi kusogezwa kwa ujinga wenu huko pembezoni.
 
Kitabu kilichoandikwa na wasiojulikana?? Dharau na kufuru kwa Imani za watu wengine. Wakati hicho cha kwako kinaandikwa ulikuwepo au pia unasoma tu maandiko kama wanavyofanya wengine? Very poor argument! Kama Yesu anakuhusu basi mchukuwe huyo anaekuhusu wewe, na mwache Yesu anaewahusu wengine.

Busara zinanituma nisibishane na mtu kama wewe!
 

Upo sahihi.

Nimeiona kwako "religious tolerance". Natumai mleta mada nae anaiona.
 
Ngoja nikwambie kitu Faiza Foxy, ukitaka kufanya reference ya kidini, usitoe vifungu kwenye kitabu Cha Imani yako kujibu hoja ya Imani nyingine. Wengine hakituhusu, tunakiona kama vitabu vingine tu vya hadithi. Na hiyo ndo Imani, tusikashifiane.
 
Bila kusahau ruzuku mnayopata kupitia kodi zetu
 
Ww ni muongo mzushi na hayawani pia lete hcho kitabu khabbiith mmoja we
 
Kila mmoja na atetee dini yake, lakini kuvumiliana naona imefika mwisho,
Kwahiyo wacha tu watu wachinjane

Atakaetangulia atatusubiri huko huko na
Atakaechelewa tutamsubiria huko huko
 
1ur'ann imehifadhiwa vifuani mwa watu toka kuteremshwa kwake.

Hilo halina utata labda uwe na macho lakini hayaoni, uwe na masikio lakini hayasikii.
 
Asante mkuu Pascal Mayalla kwa kufhubutu kukemea udini, ... Lakini pale viongozi wa dini wanapoenda nje ya mafundisho yao ya kawaida na kuanza kuusemea umma, unaowahusu na usiowahusu, watarajie kukosolewa na watu wa Imani zingine pia!
 
Kila mmoja na atetee dini yake, lakini kuvumiliana naona imefika mwisho,
Kwahiyo wacha tu watu wachinjane

Atakaetangulia atatusubiri huko huko na
Atakaechelewa tutamsubiria huko huko
Tulikua tunaishi bila ata ya hizi dini tulikua tunajua makabila na itikadi za makabila tu,alafu Leo watu tupigane kisa dini itakuwa utahira sana maana ata HOA waliotuletea hizi dini tunaona maisha yao ya Sasa hivi yalivyo mbali na dini zinavyosema

Kama Mungu tushamjua na Kila mtu abaki na Mungu wake tu bila ya kuvurugiana amani
 
Ngoja nikwambie kitu Faiza Foxy, ukitaka kufanya reference ya kidini, usitoe vifungu kwenye kitabu Cha Imani yako kujibu hoja ya Imani nyingine. Wengine hakituhusu, tunakiona kama vitabu vingine tu vya hadithi. Na hiyo ndo Imani, tusikashifiane.
Usikiogope, soma ukweli uuelewe.

Wapi maandiko ya Qur'an yalipokukashifu?
 
Uislam ni Dini ya Wayahudi pia
Waisrael na waarabu ni dugu moja Baba yao ni Ibrahim. !
Wakiwekwa muisraeli na mwarabu kwenye chumba kisha mtu atumwe akawatofautishe hawezi akajua mwarabu ni yupi na muisraeli ni yupi !!
Uyahudi au Jews ni dini sio kabila !
 
Mimi nikiwa mdogo nilifundishwa kwamba kama unaiamini dini yako sana na unaipenda basi usijaribu kuidharau Dini ya mtu mwingine yeyote yule kwa sababu kama ukiikejeli Dini ya wenzio nao wataikejeli Dini yako !!
 
Bibi unalazimisha Yesu myahudi awe mtume wa waislamu[emoji28]
Mkuu unalosema, it's the ideal situation ila hizi dini zetu🙃🙃🙃. Biblia ktk revelation 17:2 inasema watu wamelevywa na hizi dini ( za Uongo)
"earth’s inhabitants were made drunk with the wine of her sexual immorality.” hapo vinavyolaumiwa siyo vitabu bali ni viongozi wa dini.
Mifano midogo tu:
Kama anavyosema Faiza kwa msomaji wa kawaida kabisa Biblia inamtambulisha Yesu kuwa yu chini ya Mungu. Lakini inasema ni mwana wa Mungu na alikuja Duniani akitoka mbinguni (yaani Mungu aliruhusu Mwanae kwa kupitia kuzaliwa na Maria avae mwili wa nyama) kitu ambacho Mungu aliisha kifanya aliporuhusu Malaika wavae miili ya kibinadamu ili wakutane na Abraham, Loti na Jacob. Tofauti kati ya hao Malaika na Yesu ni kuwa Yesu ilitumika njia ya kuzaliwa. Hii concept kwa sasa si vigumu kuijua kwani kitu hicho hicho madokta hufanya kupitia surrogacy (wanadamu)or cloning (wanyama)
Ukija upande wa Quran mtu wa kawaida kabisa (hajalevywa na Dini ya kiislam) haimpi shida kujua kuwa Yesu ni wa pekee na Yuko juu ya Mohammad na mitume wengine.
Quran 4:171 na 3:45 zinasema wazi kuwa Yesu ni Neno la Mungu na pia ni Roho ya Mungu; kwenye Aya nyingine kunasema yeye Yuko kwa Allah na ndye atakayerudi wakati wa kiama
Jambo linguine ambalo an average person will make him doubt Mohammad kama kweli ni Mtume wa MUNGU ni
Kwamba alimuoa mtoto wa miaka 6 na kufanya naye ngono akiwa na miaka 9😴 sijui la Faiza ataweza ruhusu Binti yake. Pia Hadith ya Quran inaripoti kuwa Mtume alimpiga tongue kiss mvulana mdogo (Hassan)
Aidha, Quran inaripoti kuwa Mohammad alikuwa anakuwa controlled na devil!!! ila yeye ati akasema huyo devil controls him for good
Kwa hiyo kiujumla viongozi wetu wa dini ndyo wanatulevywa mpaka kutuvunjia UTANZANIA WETU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…