Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi,
Huko nyuma niliwahi kutoa wito wa Political Tolerance kwa vyama na wanasiasa tunaotofautiana kwa kubishana bila kugombana au kutukanana!
Hili ni bandiko la kutoa wito wa religious Tolerance kwa imani za wengine hata kama hatuziamini.
Usikosoe jambo lolote la kiimani la imani isiyo yako. Mfano Waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu, watu pekee wenye haki ya kuukosoa waraka huo ni sisi waumini wa imani hiyo, na sio watu wa imani nyingine kutoa waraka kukosoa waraka wa imani nyingine.
Naomba kulipongeza Baraza la Waislamu Tanzania Bakwata kwa Political Tolerance, maana baada ya TEC kutoa waraka kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu, ilitarajiwa Bakwata nao wangetoa waraka kuunga mkono mkataba wa DPW na Bandari zetu hivyo kupelekea kuonyeshea ni watu wa dini fulani wanapinga mkataba huu kwasababu kiongozi fulani ni wa dini fulani na wengine wanaunga mkono kwasababu tuu ya dini fulani.
Issue ya DPW na Bandari zetu sio issue ya dini fulani ni purely economical issue of national interest kuhusiana na vipengele vya mkataba! Hakuna anayepinga uwekezaji wa Bandari.
Sambamba na ombi hili pia nawaomba wana JF waandamizi wenye ushawishi mkubwa humu kujiheshimu kwa kuheshimu imani za wengine mfano ni huyu.
Wakristo tunaamini Bible ni kitabu cha Mungu, kitendo cha wewe mtu wa imani tofauti kusema huamini Bible ni kitabu cha Mungu, sio kututendea haki sisi waamini! Let's practice religious tolerance baina yetu kwa kuheshimu imani za wengine, hata kama wewe huziamini!. Nikiwa nchini India, nilitembelea hekalu moja wanaabudu panya. Japo ni kivutio cha Utalii lakini waheshimu!
Mkristo safi hawezi kusema chochote negative kuhusu Uislam, Qur'an Tukufu au Mtume Mohammed (SAW).
Paskali.

Naunga mkono watu wasiharibu mada za watu kwenye majukwaa.Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa
Kwa heshma na taadhima, Dada yangu, FaizaFoxy , I beg you please observe religious tolerance, mfano sisi tunaoamimi Yesu ni Mungu, akiibuka mtu wa imani nyingine akahubiri Yesu sii Mungu, ni kutokosea!binafsi siamini kama biblia ni kitabu cha Mungu, nainukuu kwa kuwa wao ndicho kitabu wanakitumia kudanganyia watu.