Wito wa Religious Tolerance: Usikosoe jambo lolote ambalo si imani yako!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,

Huko nyuma niliwahi kutoa wito wa Political Tolerance kwa vyama na wanasiasa tunaotofautiana kwa kubishana bila kugombana au kutukanana!

Hili ni bandiko la kutoa wito wa religious Tolerance kwa imani za wengine hata kama hatuziamini.

Usikosoe jambo lolote la kiimani la imani isiyo yako. Mfano Waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu, watu pekee wenye haki ya kuukosoa waraka huo ni sisi waumini wa imani hiyo, na sio watu wa imani nyingine kutoa waraka kukosoa waraka wa imani nyingine.

Naomba kulipongeza Baraza la Waislamu Tanzania Bakwata kwa Political Tolerance, maana baada ya TEC kutoa waraka kupinga mkataba wa DPW na Bandari zetu, ilitarajiwa Bakwata nao wangetoa waraka kuunga mkono mkataba wa DPW na Bandari zetu hivyo kupelekea kuonyeshea ni watu wa dini fulani wanapinga mkataba huu kwasababu kiongozi fulani ni wa dini fulani na wengine wanaunga mkono kwasababu tuu ya dini fulani.

Issue ya DPW na Bandari zetu sio issue ya dini fulani ni purely economical issue of national interest kuhusiana na vipengele vya mkataba! Hakuna anayepinga uwekezaji wa Bandari.

Sambamba na ombi hili pia nawaomba wana JF waandamizi wenye ushawishi mkubwa humu kujiheshimu kwa kuheshimu imani za wengine mfano ni huyu.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa
Naunga mkono watu wasiharibu mada za watu kwenye majukwaa.
binafsi siamini kama biblia ni kitabu cha Mungu, nainukuu kwa kuwa wao ndicho kitabu wanakitumia kudanganyia watu.
Kwa heshma na taadhima, Dada yangu, FaizaFoxy , I beg you please observe religious tolerance, mfano sisi tunaoamimi Yesu ni Mungu, akiibuka mtu wa imani nyingine akahubiri Yesu sii Mungu, ni kutokosea!

Wakristo tunaamini Bible ni kitabu cha Mungu, kitendo cha wewe mtu wa imani tofauti kusema huamini Bible ni kitabu cha Mungu, sio kututendea haki sisi waamini! Let's practice religious tolerance baina yetu kwa kuheshimu imani za wengine, hata kama wewe huziamini!. Nikiwa nchini India, nilitembelea hekalu moja wanaabudu panya. Japo ni kivutio cha Utalii lakini waheshimu!

Mkristo safi hawezi kusema chochote negative kuhusu Uislam, Qur'an Tukufu au Mtume Mohammed (SAW).

Paskali.
 
Waraka ukiusoma hauzungumzii maswala ya kidini, Bali umechambua mkataba Kati ya serikali na Dp world kipengele baada ya kipengele na kuonyesha madhaifu yake. Pia umegusa maeneo mengine Kama swala la Loliondo.

Ni waraka ambao umeandikwa kutetea maslahi ya nchi ya Tanzania hivyo Kila mwananchi Ana hali ya kuusoma na kuunga mkono au kuupinga kwa hoja na sio mtazamo was kidini Kama wengi wanavyoujadili.
 
Elewa na sisi tunaamini Yesu siyo Mungu, ukiibuka na kusema Yesu Mungu, wakati hakuna ushahidi hata mmoja wa yeye mwenyewe kusema "mimi Mungu:, elewa kuwa unatukosea sana, kumpa mtume wetu uungu asiokuwa nao.

Biblia inahusishwa na Yesu ambae ni mtume kwaa Waislam, kwa hiyo mimi nnahaki ku "refute" mambo anayposingiziwa Mtume wa Kiislam, kumbuka hilo.

Hilo la India litabaki india, India wako hata wanaoabudu uume wa binaadam, siyo tatizo.

Kuhusu Yesu, elewa kuwa kila mnapomzushia kitu, Waislam hatutakaa kimya, anatuhusu sana tena sana.

Panya hawatuhusu ndee wala sikio, hatuna habari nao hata wewe ukiwaabudu.

"tolerance" unayoiongelea unataka iwe upande mmoja tu?

Yesu siyo Mungu na hakuna popote aliposema "Mimi mungu" au "niabuduni".

Biblia siyo kitabu cha Mungu, hata biblia yenyewe haijuwi kama inaitwa Biblia. Hotolikuta neno "biblia" ndani ya biblia, ni uzushi tu.
 
Level yako ya thinking ni doubtif au unafanya makusudi (NISAMEHE):

Why? Ule waraka wa TEC siyo wa dini. Ni legal document on bandari contract with Dubai, from religious group guided by experienced lawyers ON CONTRACT LAW/INTERNATIONAL LAW ON CONTRACTS from the Catholic church, not CANON LAW!! There is no specific guide for the Catholic Interpretation of national law and the Islamic guide for the interpretation of national Law!
 
Elewa na sisi tunaamini Yesu siyo Mungu, ukiibuka na kusema Yesu Mungu, wakati hakuna ushahidi hata mmoja wa yeye mwenyewe kusema "mimi Mungu:, elewa kuwa unatukosea sana, kumpa mtume wetu uungu asiokuwa nao.

Biblia inahusishwa na Yesu ambae ni mtume kwaa Waislam, kwa hiyo mimi nnahaki ku "refute" mambo anayposingiziwa Mtume wa Kiislam, kumbuka hilo.

Hilo la India litabaki india, India wako hata wanaoabudu uume wa binaadam, siyo tatizo.

Kuhusu Yesu, elewa kuwa kila mnapomzushia kitu, Waislam hatutakaa kimya, anatuhusu sana tena sana.

Panya hawatuhusu ndee wala sikio, hatuna habari nao hata wewe ukiwaabudu.

"tolerance" unayoiongelea unataka iwe upande mmoja tu?

Yesu siyo Mungu na hakuna popote aliposema "Mimi mungu" au "niabuduni".

Biblia siyo kitabu cha Mungu, hata biblia yenyewe haijuwi kama inaitwa Biblia. Hotolikuta neno "biblia" ndani ya biblia, ni uzushi tu.
Sweden nao Wanasema Kuruani ni Makaratasi tu wakaichoma ile Q'uruan bhana 🤣🤣
 
Acha kuongea ugoro wewe bi ajuza!
 
Dini inafundisha na kuhimiza uvumilivu. So, anayekosolewa dini yake ana wajibu wa kuvumilia badala ya kulialia kuwa anakashifiwa.

Dini ni msalaba mkubwa na mzito ambao mtu amechagua kuubeba, sababu Mungu. Hivyo basi, toa wito kwa waumini waendeleee kuwa wavumilivu na wenye upendo kila wanapokosolewa, maana uvumilivu na upendo ni kati ya mafundisho makuu katika dini.

Watu hawapaswi kutafuta 'viti maalum'/upendeleo maalum kupitia dini zao, wanapaswa kuyakabili yote kwa uvumilivu, dini ni msalaba, dini ni tanuri la moto, dini ni pango lenye majoka na wadudu wakali.
Ukishachagua dini, wewe ni bango la shabaha/bull eye, kuwa tayari kulengwa tu.
 
Elewa na sisi tunaamini Yesu siyo Mungu, ukiibuka na kusema Yesu Mungu, wakati hakuna ushahidi hata mmoja wa yeye mwenyewe kusema "mimi Mungu:, elewa kuwa unatukosea sana, kumpa mtume wetu uungu asiokuwa nao.

Biblia inahusishwa na Yesu ambae ni mtume kwaa Waislam, kwa hiyo mimi nnahaki ku "refute" mambo anayposingiziwa Mtume wa Kiislam, kumbuka hilo.

Hilo la India litabaki india, India wako hata wanaoabudu uume wa binaadam, siyo tatizo.

Kuhusu Yesu, elewa kuwa kila mnapomzushia kitu, Waislam hatutakaa kimya, anatuhusu sana tena sana.

Panya hawatuhusu ndee wala sikio, hatuna habari nao hata wewe ukiwaabudu.

"tolerance" unayoiongelea unataka iwe upande mmoja tu?

Yesu siyo Mungu na hakuna popote aliposema "Mimi mungu" au "niabuduni".

Biblia siyo kitabu cha Mungu, hata biblia yenyewe haijuwi kama inaitwa Biblia. Hotolikuta neno "biblia" ndani ya biblia, ni uzushi tuna mtume anaitwa YESU kwenye Quran
Hata kwenye Quran hutakuta mtume anaitwa YESU.
 
Elewa na sisi tunaamini Yesu siyo Mungu, ukiibuka na kusema Yesu Mungu, wakati hakuna ushahidi hata mmoja wa yeye mwenyewe kusema "mimi Mungu:, elewa kuwa unatukosea sana, kumpa mtume wetu uungu asiokuwa nao.

Biblia inahusishwa na Yesu ambae ni mtume kwaa Waislam, kwa hiyo mimi nnahaki ku "refute" mambo anayposingiziwa Mtume wa Kiislam, kumbuka hilo.

Hilo la India litabaki india, India wako hata wanaoabudu uume wa binaadam, siyo tatizo.

Kuhusu Yesu, elewa kuwa kila mnapomzushia kitu, Waislam hatutakaa kimya, anatuhusu sana tena sana.

Panya hawatuhusu ndee wala sikio, hatuna habari nao hata wewe ukiwaabudu.

"tolerance" unayoiongelea unataka iwe upande mmoja tu?

Yesu siyo Mungu na hakuna popote aliposema "Mimi mungu" au "niabuduni".

Biblia siyo kitabu cha Mungu, hata biblia yenyewe haijuwi kama inaitwa Biblia. Hotolikuta neno "biblia" ndani ya biblia, ni uzushi tu.

Bibi unalazimisha Yesu myahudi awe mtume wa waislamu[emoji28]
 
Tangu uachike huna amani ya moyo!!
 
Back
Top Bottom