Waswahili bhana, akijua kiingereza kidogo tu mtamkoma, lakini mim huwa naona ni dalili ya kutojiamini kwenye hiyo lugha. Kikubwa hupangiwi lugha ya kutumiaUna mwandikia nani kiingereza? Akijua mkeo au sista wako inatosha bwana.....nimejaribu kufuatilia miongoni mwa waswahili wakishajua (NO, YES) baas dunia yote yao [emoji1] huu ni ushamba haswaa. Badilikeni wakuu!
Duu, yaani hata Corrodor hazina CCTV?!Mkurugenzi wa muhimbili alisema hamna cctv ICU we malisa ni nani usepe zipo?
Unamuogopa?Soma uzi na comments utajua mdogo angu
Kweli wewe hamnazo, kumwambia mtu ukweli kuwa hajui kiingereza ni kumtukana?Utakuta hako kajamaa ni moja ya waliokuwa wanamtukana Magu kwamba hajui kingereza.
Sasa hapa kwakuwa hakajaambulia kitu ndio kanajifanya kukipenda sana kiswahili.
Kamezoea english ya yes no, yes yah!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Duu, yaani hata Corrodor hazina CCTV?!
Acha maneni mengi, sema alisambaza kupitia nini?We sio wale Da Mange kasema aka mmekunywa maji ya bendera, kwa hiyo kosa ni kusambaza kwenye app ya Mange
? Ila akisambaza kupitia social networks hamna kosa.
Kweli wahenga walisema akili ni nywele ila hawa taja za eneo gani.
Sasa unataka mfano upi wakati ushaambiwa?
Ni mtu mshenzi kabisa, mshamba na limbukeni. Hana utu na ni chakaramu.Kabla hujapost video ya Jay, ulionywa sana na wadau wako wa Instagram kwamba kupost video ya mgonjwa si Jambo jema, lakini ukakaidi, ukapost.
Alipoku Waziri Mkuu Peter Pinda alisema kama umeonywa na umekaidi, upigwe TU.
Ndivyo ilivyokuwa kwako, umeonywa, umekaidi kichapo kiwe juu yako.
Kama asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu, na sis walimwengu wa taifa hili tumechoshwa na tabia zako za hovyo za kushambulia utu wa watu, kuingilia Uhuru wao wa faragha, kuwatukana, kuwadhalilisha na kuwatendea kila ubaya.
MangeKimambi, Mungu hayupo likizo, na amesikia kilio Cha muda mrefu. Machozi ya Watanzania wengi walio umizwa na wewe yamefika kwenye kiti cha enzi.
NI wakati wako sasa kutubu na kuomba msamaha.
Ivumayo haidumu, ngoma ikilia sana mwisho wake NI kupasuka
Nilijua tu vilaza mpo pumbafyuWewe utakukuwa unatoka chato, mtu mzima lakini kichwani mweupe kiasi hiki
Wa kiume unamfuatilia mange kimavi na surungi utakuja kuolewaAcha maneni mengi, sema alisambaza kupitia nini?
Hizi kauli aliwahi kupewa na shehe fulani hivi lakini zikadunda ,hata wewe zitadunda pia,picha za yesu tuko uchi mahututi msalabani zinazagaa jay ndio naniKabla hujapost video ya Jay, ulionywa sana na wadau wako wa Instagram kwamba kupost video ya mgonjwa si Jambo jema, lakini ukakaidi, ukapost.
Alipoku Waziri Mkuu Peter Pinda alisema kama umeonywa na umekaidi, upigwe TU.
Ndivyo ilivyokuwa kwako, umeonywa, umekaidi kichapo kiwe juu yako.
Kama asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu, na sis walimwengu wa taifa hili tumechoshwa na tabia zako za hovyo za kushambulia utu wa watu, kuingilia Uhuru wao wa faragha, kuwatukana, kuwadhalilisha na kuwatendea kila ubaya.
MangeKimambi, Mungu hayupo likizo, na amesikia kilio Cha muda mrefu. Machozi ya Watanzania wengi walio umizwa na wewe yamefika kwenye kiti cha enzi.
NI wakati wako sasa kutubu na kuomba msamaha.
Ivumayo haidumu, ngoma ikilia sana mwisho wake NI kupasuka
Acha ujinga, walimlea kivipi? Yupo kwenye ilani au hotuba za viongozi wa Chadema? Acha kuongea crap.Chadema ndio walimlee huyu binti wa kipare Leo kawashika tarko wote wamemkana na Jan kawatukana watu wa chadema na wa Twitter kuwa mka....firwee
Dua la kukuHuyu Mange mwisho wake utakuwa wa aibu kama baba yake
Simfatilii lakini hizi dondoo mnazotoa humu zinasikitisha sana.Wakati anamtukana bashite na ugumba nilimsema akaniblock, Mange ni kiumbe wa ajabu sana hana utu hata kama humkubali mtu kuna vitu kama binadamu mwenye staha hupaswi kufanya. na baadhi ya wabongo ndio wamemlea kwa kumpigia makofi.
Unakumbuka alivyokuwa anamdhalilisha Lowassa wakati wa kampeni? Yeye ndio ameanzisha jina la mzee wa kibamia na wapambe wake wakalipokea. Angekemewa toka mapema asingevimba kichwa badala yake alipewa ushirikiano wa kudhalilisha watu.
Hata ebitoke hawezi kutuambia eti sisi watu wa ‘Jamhuri ya twitter’ tuendelee ‘k-ufi-rw’ , kahaba hana staha kabisa yuleNiliwahi waonya watu,, wanamuita mwanaharakati mwenzao mtu kama yule. Ni vile tuu yupo mbele ila yule ni Ebitoke aliechangamka!
Ni unyama tu, hakuna namna nyingine ya kuelezeakigogo ameweka picha ya Lisu akiwa ameshonwashonwa kalio na paja, ilisambazwa na wanachadema wenyewe. hata hivyo, kukweli sikufurahia ile ya prof j, it was inhumane. sema sijui kama walisambaza wafanyakazi au ndugu zake.tusihukumu haraka.