Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Yule aliemwita mama yake mlezi aliyefariki wiki iliyoisha mtoto wa malecela ,DR nani sijui, mbona hakumposti wakati anaumwa?au anapigania uhai wake? Ila vya wengine anapost kisa they are not that close!!
 
Hata ile sauti ya ruge mutahaba akiombewa haikuwa sawa kupost. Yani hali ya mgonjwa dakika za kufa inavyokuwa tete halafu atokee mtu arikodii mtu wangu wa karibu then aweke mtandaoni asee ningechoma hata nyumba ya ndugu yake kama yeye yupo mbali
We Nakadori wewe....
 
Kuna nini tena jamani
 
$500 kwa kazi Ile wewe ungeruka?

Embu tulia
 
Itakuwa ni kwenye hilo app lake la umbea tu, hamna kwingine
Daaah! Hiyo App, ni kiboko! Inadharirisha watu kibao! Jana imeandikwaje, eti X mbunge mmoja wa CDM huwa anatabia ya KULAWITI wanawake. Eti, wanawake walikuwa wanamkimbia. Huyu mke aliyenaye sasa, inaonekana kuwa, anaumudu huo mchezo!

Majuzi, akaweka clip, ikimuonyesha Wema Sepetu akiwa na Mbunge mmoja, ambaye alikuwa ana-kaujamaa na MWENDAZAKE,wakiifurahia Dunia!
 
Ni UNYAMA USIO VUMILIKA wanastahiri Waadhibiwe
 
we nae huna tofauti na huyo aliesambaza , Uliwaona hao madaktari wakati wanarecord ?
 
Hivi huyu kisirani TCRA wamamshindwa anaendelea kumomonyoa maadili ya taifa kupitia hizo kurasa zake za udaku na app yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…