Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

E
I don’t dig cancel culture. But if there’s someone who deserves to be canceled, it’s her!

She is demented. And some people fear her. I don’t even know why.

How come no one has done her bad all these years? Maybe she isn’t out there like that for people to get their hands on her. Otherwise, it would have been on-site.

But then again we’re talking about Tanzanians here. One of the most, if not the most docile and meek people you will ever find on planet earth.

Defund her!
Be careful unless otherwise she will give you publicity.

U will become infamous.

Ur not Invisible from the point of her observation
 
D1FD4782-7481-4DE2-9EA8-EE3C9E7F570B.jpeg


No blog 😂😂👾👾, DOS bby
 
Huwezi kuona sababu ya mahaba yako kwa Mange, so na kushangaa sasa umekasirika. Yaani ni kukimbie wewe......... yaaan wewe....
[emoji116][emoji116][emoji116]
Mbona hutoi mfano wa kosa la Manve kwa Jiwe? Je nani alikuambia kuwa Mange ndiye ailimsambaza Jiwe wako? Au unataka kusema alisambazwa kwenye app ya Mange?
 
Hao dawa yao moja tu:

Siku unakutana naye sehemu ni kumpiga na kuhakikisha unamuachia alama usoni ambayo itadumu naye kwa maisha yake yote yaliyobaki hapa duniani.

Ila, watu kama hao huwa wanajificha ficha. Na ndo maana hamna aliyewafanyia mbaya hadi hivi sasa.

But, disrespect has no expiry date…

Jinai ya kumkosea mtu heshima haiishi na haina expire date. Ipo siku
 
Mbona hutoi mfano wa kosa la Manve kwa Jiwe? Je nani alikuambia kuwa Mange ndiye ailimsambaza Jiwe wako? Au unataka kusema alisambazwa kwenye app ya Mange?
We sio wale Da Mange kasema aka mmekunywa maji ya bendera, kwa hiyo kosa ni kusambaza kwenye app ya Mange
? Ila akisambaza kupitia social networks hamna kosa.

Kweli wahenga walisema akili ni nywele ila hawa taja za eneo gani.

Sasa unataka mfano upi wakati ushaambiwa?
 
Yule baba alijua kututia akili, yaan watanzania tukawa smart vichwani, hakuna kudanganywa hovyo na mabeberu, tulijitambua, halafu tukageuka kua wazalendo na morali ya kufanya kazi, sasa hivi sasa vichekesho, ni morali ya kula kwa urefu wa kamba
Akili labda ulitiwa wewe, wengine tunazo zetu toka kitambo, kuna watu mnashangaza sana, yaani kutwa mnyonge ndiyo unasema umetiwa akili?
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Hivi huyu ndio role model wa ufipa mtetezi wa haki za binadam alikuwa anamtukana Magufuli nyumbu wanamshangilia na akaitisha maandamano uchwara. Leo mnagundua kuwa hana akili sawasawa.
Unaweza toa mfano wa tusi lake kwa Jiwe?
 
Tunapoongea kuwa nyie sijui ndo chadema mnavyowaamini hawa sijui kimavi ,sijui surungi kwamba hamna akili mnaona ni jambo la siasi .sisi hatuna vyama ila hao mpaka mnawafauatilia ndo mnawapa kichwa nilikuwa nataka kusoma ishu zao ila kwa vile hawan adabu nikaacha kuwafuatilia mi miaka mingi hata 5 inazidi


kaeni muelewe watanzania wapo wanawapa kichwa mtu nasikia anapost mpaka video za faragha za watu mpaka porno bado mnamkubali kwa vile anajua kingereza[emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe utakukuwa unatoka chato, mtu mzima lakini kichwani mweupe kiasi hiki
 
UJUMBE WA MDAU MALISA GJ KUHUSU WALIOVUJISHA VIDEO YA PROF. JAY ICU MUHIMBILI

"Nimeumia sana kuona Prof.Jay amerekodiwa akiwa mahututi na video hiyo kusambazwa mitandaoni. Hiki ni kiwango cha juu cha kukosa utu. Hata kama ni kutafuta pesa si kwa njia hii. Tujifunze kuheshimu utu kuliko fedha. Jiulize angekua baba yako ungemrekodi? Ikumbukwe kupiga picha hospitali bila kibali "maalumu" ni kosa kisheria.

Sera ya afya (Personal health information Protection Policy) na sheria ya mtandao (Cybercrimes Act 2015) zinalinda faragha ya mgonjwa (patient privacy and confidentiality). Kwahiyo aliyerekodi amefanya kosa KIMAADILI na KISHERIAa .

KIMAADILI amemkosea Jay, familia yake na amewakosea watanzania. Japo kosa hili halina adhabu lakini linabeba laana kwa mhusika. KISHERIA kupiga picha eneo lisiloruhudiwa na kusambaza mitandaoni ni kinyume na sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015. Adhabu yake ni kifungo kisichopungua miaka 3 jela au faini ya TZS 5M au vyote kwa pamoja.

Lakini je nani amerekodi na kwa lengo gani? Wanaoruhusiwa kumuona Jay ni makundi matatu tu. Watoa huduma wanaomhudumia (madaktari na wauguzi), ndugu zake, na viongozi wa serikali.

Video imerekodiwa na mtu kutoka makundi hayo matatu. Hata hivyo kundi la watoa huduma linabeba asilimia kubwa zaidi kuliko makundi mengine. Si rahisi kiongozi wa serikali au ndugu yake kumrekodi. Uwezekano mkubwa upo kwa watoa huduma (madaktari na manesi) ambapo wapo nae muda mwingi.

Kwa kuwa ICU kuna CCTV, nashauri wapitie "footage" wataona ni nani aliyehusika kufanya tukio hili la kinyama. Kama ni mtumishi achukuliwe hatua za kinidhamu na za kisheria.

Hatua za kinidhamu ni kama kusimamishwa kazi na kufutiwa leseni kwa kwenda kinyume na kiapo chake cha maadili. Na hatua za kisheria ni kupandishwa mahakamani na kufunguliwa mashtaka ya kurekodi na kusambaza maudhui yasiyofaa mtandaoni, kinyume na sheria ya makosa ya mitandao ya mwaka 2015.

Akipatikana na hatia, namuomba Hakimu asimpe faini au kifungo bali amtandike vyote kwa pamoja. Atumikie miaka mitatu jela na alipe faini isiyopungua 5M kama sheria inavyoeleza. Hii itakua fundisho kwa "vishohia" wengine wanaodhani matatizo ya mtu ni fursa ya wao kuuza habari.!

Mkurugenzi wa muhimbili alisema hamna cctv ICU we malisa ni nani usepe zipo?
 
Back
Top Bottom