Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kuhusu Ubora wa TL sina ubishi kabisa.Niseme tu, this guy is gifted. Tumshukuru sana Mungu kwa kutupa huyu mtu wakati huu. Tumshukuru Mungu kwa sababu hakuruhusu mtu huyu afe mwaka 2017 kwa sababu alijua kuna wakati tutamuhitaji.
100% perfectWito wangu kwenu. Mtumieni Tundu Lissu sasa, na hakikisheni anatumika vizuri kutupatia Katiba Mpya iliyo bora inayojenga mifumo imara itakayohakikisha Taifa hili kuwa imara hata miaka 500 ijayo.
Sio nahisi, lazima itatokea. Else DGIS awe na support kubwa sana ya ndani kumzidi aliejuu yake , if not entity iliyo juu yake inatampotezaUnahisi kutakuwa na conflict of interest?
HatersTUNDU NI POLITICAL ESCAPEGOAT,
acheni kuuhadaa ulimwengu.
Sawa mkuuSio nahisi, lazima itatokea. Else DGIS awe na support kubwa sana ya ndani kumzidi aliejuu yake , if not entity iliyo juu yake inatampoteza
Tunajua sana. Na ndo mana tunashauri marekebisho ya Katiba ili kuiponya nchi na majanga yatakayoikumba huko mbeleni.Mngejua Rais wa nchi hii ana nguvu kias gani mngetulia tu.
Na nchi hii hakuna taasisi wala mtu binafsi anaweza fanya kitu ambacho yeye hajaridhia.
Mkuu unadhani DGIS anaweza fanya kitu kinyume na kiapo chake?Tunajua sana. Na ndo mana tunashauri marekebisho ya Katiba ili kuiponya nchi na majanga yatakayoikumba huko mbeleni.
Ingekua kweli Mwendazake angekua bado yupo MagogoniMngejua Rais wa nchi hii ana nguvu kias gani mngetulia tu.
Na nchi hii hakuna taasisi wala mtu binafsi anaweza fanya kitu ambacho yeye hajaridhia.
Tapeli la kisiasa .Hana karma ya uongozi CHADEMA imekufa
Hakuna wa kuzuia kifo mzee...Ingekua kweli Mwendazake angekua bado yupo Magogoni