Wito wangu kwa DGIS na Taasisi yako: Msipomtumia Tundu Lissu kupata Katiba Mpya na Bora sasa, mtajuta milele.

It is now or never . Kwa katiba ya Sasa ….. hata Mwijaku anaweza kuwa Rais.

Jeshi na STATE SECURITY…… it is now or NEVER .

kwa wale walio above 60 Kwa mujibu wa WHO life expectancy data…. Havana miaka 20 mbele ya kuishi….. hivyo wazee wote above 60 wasiharibu nchi wana muda mchache sana wa kuwepo duniani based on life expectancy data( kati ya miaka 70 hadi 75) ukizidi hapo ni neema ya mungu wako.

, je mnaenda kuachia generation yenu nchi ya aina gani? Kumbukeni mkitoka kwenye vyeo vyenu… hamtokuwa na thamani tena kama ilivyo kwa watoto wa Nyerere

It is now or never for the benefit of the country ….. nchi ina resources nyingi lakini zinauzwa bila ya kumnufaisha mtu wa chini.

It is now or never kwenye katiba mpya
Vyombo vya Ulinzi na usalama hasa maafisa na seniors ni watu wenye maisha mabaya na mishahara ya kipuuzi kutokana na katiba mbovu. It is now or never …… tunataka ile State security iliyokuwa
Ina leak info za Ufisadi kwa wanasiasa wenye akili na
Kuzilipua kwenye public …..sio hii ya sasa ya Uchawa

Katiba mbovu inamfanya hata Rais asiye na uwezo kuwa mungu

It is now or never …… Lissu is to lead
 
We jamaa ndugu zako wasipokuwahi utaokota makopo
 
Umesema kweli mkuu, tuanze na wewe kwa kutoa mchango wako,ongoza njia mkuu,sie tutafuata.
 
Mngejua Rais wa nchi hii ana nguvu kias gani mngetulia tu.

Na nchi hii hakuna taasisi wala mtu binafsi anaweza fanya kitu ambacho yeye hajaridhia.
Ndio maana haitakiwi kuwa hivi. Lazima power iwe kwenye control

Rais sio Mungu

Hata JPM alisema hakuna muhimili zaidi yake

Hatutak huo ujinga
Rais lazima apingwe na maamuzi yake yawe monitored at any how or else we are all dead

It is not about tungejua , nchi ipo kwenye critical state ya umasikini huku chawa wakilisha watu data fake za maendeleo
 
Ahsante sana,

Kwamba sio Mungu, lakini ukwel na uhalisia ni vitu vinatakiwa viende sambamba.

Bado katiba yetu haijabadilika na kumtwisha DGIS huo mzigo ni kumuonea tu.

Maendeleo ni complex na changamoto kubwa ni namna nchi zetu zimefanywa masikini na wakoloni, yes kupitia mikopo, Makampuni makubwa ya kigeni, na umiliki mkubwa wa rasilimali zikiwemo madini.., kwa hilo hata Rais hana ujanja nalo, angalao kwa sasa..

Kidoogo tungepambana na Kilimo na elimu ya Ufundi pengine tungefika mahali.
 
Basi walio chini yake wafanye kwa maslahi mapana ya taifa
kwa hii nchi hamna anaeweza pindua mambo kama wanaoshikilia mfumo hawajaamua......uchaguzi utapita kama chaguzi nyingine na mambo yataenda
 
Tatizo kuu kwenye nchi zetu za kiafrika ni Rushwa.

Na namna pekee ya ku control Rushwa na matumizi mabaya ya pesa ni kuwa na Katiba Bora zinazotengeneza mifumo imara.

Nchi zetu zina hela sana ila pia zina matumizi mabaya sana ya fedha na wizi kutokana na Wanasiasa kuwa miungu watu.
 
Ume cement vizuri sana hoja yangu. Asante sana.
 
Halafu kuna takataka na majizi maccm yanakwambia lissu ni kichaa aisee ila yanasahau kuna yule bwana magufuri aliyetaka jimiliksha taifa hli kama vicoba yeye alijiita kichaa kbs
 
Halafu kuna takataka na majizi maccm yanakwambia lissu ni kichaa aisee ila yanasahau kuna yule bwana magufuri aliyetaka jimiliksha taifa hli kama vicoba yeye alijiita kichaa kbs
CCM ni kikundi cha wahuni kinacholiharibu hili Taifa vibaya sana.

Hatua zisipochukuliwa sasa. Mbele kuna giza totoro.
 
Mkuu heshima kwako..

Yes, katiba itatusaidia kupata viongozi wazuri waliochaguliwa na wenye kuwakilisha maoni ya wananchi wengi..

Ila Rushwa ni mfumo mgumu sana kumalizika Africa....

Hakuna nchi Africa yenye katiba bora kama Ghana...( Kimtazamo) Lakini ipo wapi? Deep in poverty and almost bankruptcy thanks but no thank you to World bank and IMF.

Umasikini, Rushwa na Rasilimali zetu zipo chini ya mkoloni, ni complex kuliko tunavyofikiri na kujitoa huko ni Mungu atusaidie.
 
Ni ujinga sana kuwasingizia wakoloni kwa matatizo yetu wenyewe.

Barabara zinazojengwa chini ya kiwango nchi hii sio tatizo la mkoloni.

Fedha zinazoibwa kwenye halmashauri na Serikali kuu nchini sio tatizo la mkoloni.

Unataka kuniambia kushindwa kukusanywa taka kwenye majiji ya Mbeya,Dar na Mwanza ni tatizo la mkoloni?

Unataka kusema Halmashauri zetu pamoja na kukusanya mapato kiasi hicho zinaposhindwa kupanga na kupima majiji na kumanage takataka ni tatizo la mkoloni? Hapana kwa kweli.

Nchi hii kuna wizi mkubwa sana wa fedha za wananchi, kuna matumizi mabaya sana ya fedha za wananchi na hili linatokana na katiba yetu kutokuwa na meno na kutoweka nguvu kwenye mifumo na kutengeneza Powerful Politician (Rais)

Ghana na Tanzania huwezi kuzifananisha. Sisi Tanzania shida yetu ni kansa ya ufisadi inayosababishwa na mfumo mbovu wa utawala unaosababishwa na Katiba mbovu.
 

Kwa hayo nakuelewa kinoma noma, angalao kupunguza uzembe unaozuilika..

Ila kwa big picture Africa haiwez kutoka hapa ilipo kwa mfumo wa kukusanya kodi alafu 80% unawarudishia kama mkopo... Na huku wanaendelea kutu control kwenye MNCs, NGOs na Credit..

Either way kwa hilo tupo pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…