Wito wangu kwa DGIS na Taasisi yako: Msipomtumia Tundu Lissu kupata Katiba Mpya na Bora sasa, mtajuta milele.

Mwaka huu katiba itapatikana na uchaguzi utafanyika na huyu mama atadondoka
 
Atumiwe mara ngapi?

Unadhani uamuzi wa kuchukua fomu kumchaklenge mkt aliutoa ndotoni?
Wanakuwa tu wanajitoa ufahamu kitendo tu Cha TISS kugoma kuingilia uchaguzi chadema ilikuwa ni wake-up call ya kumwambia Samia now things are going to change
 
Huu ndio ukweli, Lissu ndie akina Mzee wa Warioba na Butuku wa sasa.
Hakuna tena wazee waliobakia wenye maono ya kukemea waliobaki zaidi ya hao wawili.
 
Seriously una dalili zote za kichaa
Polee sana. Najua unaumiwa kuona nyuzi kama hizi kwa sababu zinaenda kuharibu madili yenu ya kuliibia Taifa na watu wake masikini.
 
Huu ndio ukweli, Lissu ndie akina Mzee wa Warioba na Butuku wa sasa.
Hakuna tena wazee waliobakia wenye maono ya kukemea waliobaki zaidi ya hao wawili.
Akiondoka Lissu sioni mtu wa kutufanikishia hili. Hata kina Warioba na Butiku wamechoka sana hawa wazee wetu. Uzee unazidi kudhoofisha afya zao kila kukicha.

So far the only person we have in this is Tundu Antipass Lissu.
 
Mwaka huu katiba itapatikana na uchaguzi utafanyika na huyu mama atadondoka
Hata akishinda kihalali baada ya huo uchaguzi utakaofanyika baada ya kupata Katiba Mpya hakuna shida. Kikubwa tupate Katiba Mpya iliyo bora haraka sana ili kusimika mifumo imara ya kulisimamia Taifa letu.

Tanzania iko kwenye hatua za mwisho kupata total collapse. Ni vizuri wanaoweza kuisaidia waisaidie maana tunapokwenda ni kubaya sana.
 
Watu wanawaza 2030 wewe unataka wawaze 500 years to come?
 
Watu wanawaza 2030 wewe unataka wawaze 500 years to come?
Ndo tufauti ya sisi tunaoliwazia mema hili Taifa kwa mustakabali wake mzuri kwa miaka mingi na wajinga wa CCM wanaowaza matumbo yao na kujineemesha binafsi.
 
Nilitamani mama afanye jambo hili kubwa ambalo liliwashinda ma-Rais wanaume wote waliotangulia: KUANDIKA KATIBA MPYA.
Aidha ajenda ya 'No Reforms No Election' ilipaswa kuwa ajenda ya CCM kupitia 4R's za mama.
 
Hakuna kitu

He hqs bursted his veil

Juzi kasema magu ni mtakatifu… halafu anataka kurudi chsdema ya domokaya, mhanga!!

Confused
Sio system inamrudisha chadema kijanja akafanye kazi ya CCM kama alivyofanya 2015?
 
Nilitamani mama afanye jambo hili kubwa ambalo liliwashinda ma-Rais wanaume wote waliotangulia: KUANDIKA KATIBA MPYA.
Aidha ajenda ya 'No Reforms No Election' ilipaswa kuwa ajenda ya CCM kupitia 4R's za mama.
Hajui tu nae. Ila akithubutu kusimamia mchakato wa Katiba Mpya iliyo bora yeye ndiye Rais atakayekumbukwa zaidi na Watanzania kwa vizazi vyote kuliko Rais yeyote yule mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…