Wito wangu kwa Wanawake: Achaneni kabisa na usafiri wa bodaboda, sio salama kwenu

4. Nakazia hapa!
 
7. Aliyeweka singeli USIPANDE

8. Aliyekaa upande upande USIPANDE

9. Aliyenin'giniza kitambaa siti ya nyuma USIPANDE
 

Kuna siku nimechukua bodaboda airport nikitaka kuwahi Posta kabla benki hazijafungwa, mwendo alioenda nao na kupita barabara mbili taa nyekundu ikiwa zimewaka, nilimsimamisha ghafla nikamkabidhi pesa yake bila kudai chenji maeneo ya TAZARA. Nikachukua Tax biashara ya benki ikaishia hapo hadi kesho yake.

Sikuamini kama bado nipo hai kwa jinsi tulivyokoswakoswa na magari kwa jamaa kupita kasi tena taa nyekundu zimewaka. Ni kama robot yeye anaenda tu haangalii kabisa cha taa wala magari mengine..
 
For your information kama natoka kwangu hadi Airport si chini ya masaa 4, dogo! Hasa ikiwa si domestic. Ubishi wa michadema huo

Kwahiyo unaniziba mdomo! Unapora haki yangu ya kutoa maoni, CCM mnajikuta mna haki kuliko wengine.
 
Yaani ajali nyingi sisi ndio victims, na hatujui KURUKA. Nina rafiki zangu zaidi ya sita wameenda na mwingine Rehema Muya kapoteza uwezo wa kutembea, spinal cord imevunjika
Ooooh God....

Mungu amponye
 
Mwezi August binamu yangu katembea nayo israel na mwenzie kakatwa mguu, mbaya zaidi kila siku lazima nipite hiyo barabara na litukutuku langu kwenda na kurudi kazini...Mola aturehemu.
 
Mwezi August binamu yangu katembea nayo israel na mwenzie kakatwa mguu, mbaya zaidi kila siku lazima nipite hiyo barabara na litukutuku langu kwenda na kurudi kazini...Mola aturehemu.
Afadhali Kama ni yako inaendeshwa kwa nidhamu
 
halafu kama ulikuwepo, alinipa msalaba wangu niubebe mwenyewe mpaka Golgotha..!!

Nilivyo na utapeli mwingi hivii, Mungu anisaidie this time nakutumia picha kweli tena mdogo wangu..
 
Kwanini hutumii simbank au nenda kwa wakala sio lazima ufike bank

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…