RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Wewe kama mimi cha ajabu kuna watu hawaamini hili.Sijawahi kupanda bodaboda na sidhani kama nitakuja kupanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kama mimi cha ajabu kuna watu hawaamini hili.Sijawahi kupanda bodaboda na sidhani kama nitakuja kupanda
4. Nakazia hapa!NI saa saba na dakika tano, mataa ya Mwenge, ajali mbaya sana inatokea, mabinti wawili wakiwa kwenye bodaboda, wanapata ajali mbaya sana na kufariki dunia hapohapo.
Last week nilihudhuria msiba wa mrembo mmoja aliyefariki kwenye Kona ya Target akielekea Juliana, alikuwa kwenye bodaboda.
Sweet Ray rafiki yangu, kapata ulemavu wa kudumu akiwa kwenye bodaboda.
Wadada mkiwa kwenye bodaboda mnajiona mko salama sana, mnabinua vijikalio vyenu huku mkipekenyua kurasa za instagram.
Upekuzu huo huwapelekeni mbali kiasi kwamba mnasahau kuwa mna jukumu la kumuongoza dereva na chombo chake, maana madereva wa bodaboda ni bangi na dabokiki paseee.
Matokeo yake mnajikuta tayari ajali Isha wameza.
With wangu kwenu:-
1. Usimchukue dereva MWENYE kiduku au turn dread, tafuta dereva mtu mzima mwenye staha zake.
2. Usimchukue dereva MWENYE kuvaa ndala, tafuta mwenye viatu, utanishukuru baadae.
3. Mwambie mapema dereva aende mwendo wa pole hata Kama una haraka, ni salama zaidi kwako.
4. Usitumie simu kwenye bodaboda, itakuondolea concentration, utashindwa kumuongoza dereva.
5. Vaa kofia ngumu, usipande bodaboda ambayo haina kofia, na ni lazima uvae kofia.
6. Sali kabla hujaanza Safari yako, mwombe Mungu akutangulie na akufikishe salama.
Wishing you all the best
7. Aliyeweka singeli USIPANDENI saa saba na dakika tano, mataa ya Mwenge, ajali mbaya sana inatokea, mabinti wawili wakiwa kwenye bodaboda, wanapata ajali mbaya sana na kufariki dunia hapohapo.
Last week nilihudhuria msiba wa mrembo mmoja aliyefariki kwenye Kona ya Target akielekea Juliana, alikuwa kwenye bodaboda.
Sweet Ray rafiki yangu, kapata ulemavu wa kudumu akiwa kwenye bodaboda.
Wadada mkiwa kwenye bodaboda mnajiona mko salama sana, mnabinua vijikalio vyenu huku mkipekenyua kurasa za instagram.
Upekuzu huo huwapelekeni mbali kiasi kwamba mnasahau kuwa mna jukumu la kumuongoza dereva na chombo chake, maana madereva wa bodaboda ni bangi na dabokiki paseee.
Matokeo yake mnajikuta tayari ajali Isha wameza.
With wangu kwenu:-
1. Usimchukue dereva MWENYE kiduku au turn dread, tafuta dereva mtu mzima mwenye staha zake.
2. Usimchukue dereva MWENYE kuvaa ndala, tafuta mwenye viatu, utanishukuru baadae.
3. Mwambie mapema dereva aende mwendo wa pole hata Kama una haraka, ni salama zaidi kwako.
4. Usitumie simu kwenye bodaboda, itakuondolea concentration, utashindwa kumuongoza dereva.
5. Vaa kofia ngumu, usipande bodaboda ambayo haina kofia, na ni lazima uvae kofia.
6. Sali kabla hujaanza Safari yako, mwombe Mungu akutangulie na akufikishe salama.
Wishing you all the best
Oh sasa wasiojulikana wanatakiwa kujulikana. ByeUnakaa wapi? Bagamoyo au Chalinze?!!😇😇😇
Kukueleza ukweli ndiyo tambo?Hatujataka hizo tambo zako. Ndege kitu gani?
Naishi KilindiUnaishi morogoro we mataga😀😁
Bodaboda ilichukua uhai wa rafiki yangu dah. Tena bado kijana mbichi kabisa.
Kuna unaweza jisemea sitakaa ni pande boda. Ila Kuna sehem itafika inakua haikwepeki ila Kuna vitu inabidi uzingatie kama ushauri wa mtoa mada alivyo sema other wise unaweza ishia pabaya
For your information kama natoka kwangu hadi Airport si chini ya masaa 4, dogo! Hasa ikiwa si domestic. Ubishi wa michadema huo
Ooooh God....Yaani ajali nyingi sisi ndio victims, na hatujui KURUKA. Nina rafiki zangu zaidi ya sita wameenda na mwingine Rehema Muya kapoteza uwezo wa kutembea, spinal cord imevunjika
Wanavaa vindala halafu tuguu wanatuning'iniza flan hivi,bodaboda wana mbwembwe sana!Usimchukue dereva MWENYE kuvaa ndala, tafuta mwenye viatu, utanishukuru baadae.
UJUMBE UMEFIKA MKUU AHSANTE6. Sali kabla hujaanza Safari yako, mwombe Mungu akutangulie na akufikishe salama.
Wishing you all the best
Hakika wewe ni jasiri, chukua tahadhariMungu atulinde hakika Maa, naipenda mno pikipiki Mimi jamani..!!
Afadhali Kama ni yako inaendeshwa kwa nidhamuMwezi August binamu yangu katembea nayo israel na mwenzie kakatwa mguu, mbaya zaidi kila siku lazima nipite hiyo barabara na litukutuku langu kwenda na kurudi kazini...Mola aturehemu.
halafu kama ulikuwepo, alinipa msalaba wangu niubebe mwenyewe mpaka Golgotha..!!Naelewa dada si ndiyo mambo yetu 🤣 nini helmet chafu? Kitendo tu cha kunipa helmet ananivuruga maana nikiivaa tu nywele itavurugika mawimbi.
Na venye wako na tabia mbaya? Ukimwambia itaniharibia nywele inakwambia we ishike tu ukikamatwa shauri zako 😆
Swadakta7. Aliyeweka singeli USIPANDE
8. Aliyekaa upande upande USIPANDE
9. Aliyenin'giniza kitambaa siti ya nyuma USIPANDE
Kwanini hutumii simbank au nenda kwa wakala sio lazima ufike bankKuna siku nimechukua bodaboda airport nikitaka kuwahi Posta kabla benki hazijafungwa, mwendo alioenda nao na kupita barabara mbili taa nyekundu ikiwa zimewaka, nilimsimamisha ghafla nikamkabidhi pesa yake bila kudai chenji maeneo ya TAZARA. Nikachukua Tax biashara ya benki ikaishia hapo hadi kesho yake.
Sikuamini kama bado nipo hai kwa jinsi tulivyokoswakoswa na magari kwa jamaa kupita kasi tena taa nyekundu zimewaka. Ni kama robot yeye anaenda tu haangalii kabisa cha taa wala magari mengine..