Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,026
- 5,299
Naona umekamatia kicheche hapo Masai Lodge halafu unatuzugaNipo chako ni chako hapa dom sahivi sa nane na dk 8 nitakuwa makini kuchagua bodaboda makini anipeleke home
Sipendi bodaboda, hata nikichelewa ndege nitalipia tiketi ingine. Pesa inatafutwa ila kiungo au maisha yakipotea hamna mbadala.Tema mate chini! Foleni ilinifanya niipande toka Kino hadi Airport kuwahi na nilikuwa last passenger to board
Ubaya mwingine wa bodaboda anaweza kuwa makini ila gari ikamvamia. Tatizo wewe ndio body ya bodaboda.Matumizi sahihi ya boda boda ni haya...
1. Usafiri huo utumike nje ya mji.
2. Barabara za vumbi/changarawe.
3. Mwendo wa polepole (speed isiyozidi 30km/hour)
4. Vaa kofia ngumu.
5. Dereva aliyefuzu.
Ninakuhakikishia, mambo hayo matano yakifuatwa kikamilifu, vifo vinavyotokana na boda boda vitafutika, ajali mbaya zitafutika.
Mbezi chini karibu na kwa boss Joe Kusaga 😂😂
[emoji1531]Mbezi chini karibu na kwa boss Joe Kusaga [emoji23][emoji23]
Watu wa chadema wako very constructive kwenye society Yani hata mada zao ni zenye kujenga jamii. Sasa ngoja wake nzi wa kijani; mada zao wao ni....NI saa saba na dakika tano, mataa ya Mwenge, ajali mbaya sana inatokea, mabinti wawili wakiwa kwenye bodaboda, wanapata ajali mbaya sana na kufariki dunia hapohapo.
Last week nilihudhuria msiba wa mrembo mmoja aliyefariki kwenye Kona ya Target akielekea Juliana, alikuwa kwenye bodaboda.
Sweet Ray rafiki yangu, kapata ulemavu wa kudumu akiwa kwenye bodaboda.
Wadada mkiwa kwenye bodaboda mnajiona mko salama sana, mnabinua vijikalio vyenu huku mkipekenyua kurasa za instagram.
Upekuzu huo huwapelekeni mbali kiasi kwamba mnasahau kuwa mna jukumu la kumuongoza dereva na chombo chake, maana madereva wa bodaboda ni bangi na dabokiki paseee.
Matokeo yake mnajikuta tayari ajali Isha wameza.
With wangu kwenu:-
1. Usimchukue dereva MWENYE kiduku au turn dread, tafuta dereva mtu mzima mwenye staha zake.
2. Usimchukue dereva MWENYE kuvaa ndala, tafuta mwenye viatu, utanishukuru baadae.
3. Mwambie mapema dereva aende mwendo wa pole hata Kama una haraka, ni salama zaidi kwako.
4. Usitumie simu kwenye bodaboda, itakuondolea concentration, utashindwa kumuongoza dereva.
5. Vaa kofia ngumu, usipande bodaboda ambayo haina kofia, na ni lazima uvae kofia.
6. Sali kabla hujaanza Safari yako, mwombe Mungu akutangulie na akufikishe salama.
Wishing you all the best
Naelewa dada si ndiyo mambo yetu 🤣 nini helmet chafu? Kitendo tu cha kunipa helmet ananivuruga maana nikiivaa tu nywele itavurugika mawimbi.Just imagine ndiyo kamtoko hivii, umetia kalkiti yako, na ka way pembeni anaelewa Depal ile namna, nywele inameremeta hivii, dereva anakupa helmet lake chafu utavaa..?
....haRafu ? ... NyweRe?..wewe ni miongoni mwa lile Kabila ambalo L wanaweka R....na kinyume chake, Mkuu?Harafu nywere zenyewe bandia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada ako ka style ka jana kanifate nyuma pls.Ahsante kutukumbusha, hapo pa helmet umenigusa Mimi kabisa, Jana tu nimegoma kuivaa nimetengeneza tunywele twangu naanzaje kuziharibu na helmet jamani.!?
Ila anyways, tutajitahidi kwa usalama wetu ila nyingi huwa chafu sana jamani..!
NB; nanyoa, siyo nywele za bandia msije nishambulia..!
NI saa saba na dakika tano, mataa ya Mwenge, ajali mbaya sana inatokea, mabinti wawili wakiwa kwenye bodaboda, wanapata ajali mbaya sana na kufariki dunia hapohapo.