Wito wangu kwa Wanawake: Achaneni kabisa na usafiri wa bodaboda, sio salama kwenu

Wito wangu kwa Wanawake: Achaneni kabisa na usafiri wa bodaboda, sio salama kwenu

Ha

Harafu nywere bandia sio nzuri. Mara nyingi sana naona watu wanawashwa harafu nywere bandia huwa ndio SABABU.
Harafu nywere bandia zinaleta ukurutu na papasi mwilini.
Harafu nywere bandia sizipendi ila Basi tu
Sana yaani mkulu Ila wanawake wanapenda kufeki Sana
 
Ukion bodaboda
-kavaa kikaputula kinaishia mapajani,
-amesokota nywele,
-anavindala,
-boda yake ameweka nyimbo za singeli
-hana helmet

Ukipanda hiyo boda na wewe unakuwa mpumbavu. Maana hao vijana huwa wakishapanda kwenye boda utakuta anakaa upande hivi. Hapo utafurahia show.
Mim kuna dogo aliniendesha alifanya overtake kiasi kwamba angechelewa just a second ndo ingekuwa mwisho. Baada ya pale nikamwambia sikulipi hela yako ya nishushe,

Bora bodaboda wa bolt hawa mostly naonaga wanajielewa
Hii nalo ni tatizo Sana asee yani timing zao kwenye kuovertake ni hatarishi sana yaani sekunde ikizidi tu hata moja Basi haupo tena.
 
NI saa saba na dakika tano, mataa ya Mwenge, ajali mbaya sana inatokea, mabinti wawili wakiwa kwenye bodaboda, wanapata ajali mbaya sana na kufariki dunia hapohapo.

Last week nilihudhuria msiba wa mrembo mmoja aliyefariki kwenye Kona ya Target akielekea Juliana, alikuwa kwenye bodaboda.

Sweet Ray rafiki yangu, kapata ulemavu wa kudumu akiwa kwenye bodaboda.

Wadada mkiwa kwenye bodaboda mnajiona mko salama sana, mnabinua vijikalio vyenu huku mkipekenyua kurasa za instagram.

Upekuzu huo huwapelekeni mbali kiasi kwamba mnasahau kuwa mna jukumu la kumuongoza dereva na chombo chake, maana madereva wa bodaboda ni bangi na dabokiki paseee.

Matokeo yake mnajikuta tayari ajali Isha wameza.

With wangu kwenu:-
1. Usimchukue dereva MWENYE kiduku au turn dread, tafuta dereva mtu mzima mwenye staha zake.

2. Usimchukue dereva MWENYE kuvaa ndala, tafuta mwenye viatu, utanishukuru baadae.

3. Mwambie mapema dereva aende mwendo wa pole hata Kama una haraka, ni salama zaidi kwako.

4. Usitumie simu kwenye bodaboda, itakuondolea concentration, utashindwa kumuongoza dereva.

5. Vaa kofia ngumu, usipande bodaboda ambayo haina kofia, na ni lazima uvae kofia.

6. Sali kabla hujaanza Safari yako, mwombe Mungu akutangulie na akufikishe salama.

Wishing you all the best
Ushauri mzuri sana tena sana.
 
Wanawake condom tu hawajali wanaanzia wapi kujali boda boda.

Anakwambia ana allergy na condom ama zinamuumiza anakushawishi muende kavu huku hata hakujui background yako.. boda boda akimpa helmet mwanamke anakataa kuvaa anasema helmet chafu ama itamkata nywele zake. Yaani anajali nywele kuliko uhai wake
[emoji106]
 
Ushauri wangu kwa serikali bodaboda nazo zipunguzwe, kama wanavyo dili na machinga sasa wageukie na boda boda nazo.
Kwanza ni hatarishi, wanao ziendesha wengi wao hawastahili, zimekuwa nyingi mno mjini, zinasababisha msongamano mkubwa na mengine mengi ambayo yanasababisha kuwepo na sababu ya boda boda kuondolewa au kupunguzwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaap ikiwezekana ziondolewe katikati ya miji.
 
Ushauri wangu kwa serikali bodaboda nazo zipunguzwe, kama wanavyo dili na machinga sasa wageukie na boda boda nazo.
Kwanza ni hatarishi, wanao ziendesha wengi wao hawastahili, zimekuwa nyingi mno mjini, zinasababisha msongamano mkubwa na mengine mengi ambayo yanasababisha kuwepo na sababu ya boda boda kuondolewa au kupunguzwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani tatizo sio wingi wa boda boda kwani inabidi elimu ya usalama barabarani iendelee kutolewa kwani kuna vitu vingi mno vya kujifunza,leo unamwona kijana anajifunza kuendesha na kesho yake yuko barabarani.Mamlaka husika hebu kagueni hao boda boda kama kweli wana leseni?,Na hiki kizazi cha 90' ni hatari kwani kila kitu wanajua wao na ni wabishi hatari.
 
Huwa nashangaa ninapoona mtu kupanda bodaboda bila mkono mmoja kushikilia pale nyuma ya seat. Hilo nimeliona zaidi kwa wanawake. Wanakuwa relaxed mno!

Ukishikilia na ukawa makini na safari inavyokwenda, una nafasi nzuri ya kureact kiusalama zaidi pale dharura inapotokea.

Mimi nadhani hilo ni muhimu na rahisi zaidi kuliko kuanza kukagua ni dereva yupi amevaa smart.

Dhumuni la kuchukua bodaboda ni ili uende unapokwenda kwa haraka. Sasa itakuchukua muda gani kuanza kukagua uvaaji wa madereva? Wengi wao ndiyo wavaaji wa hilo vazi la taifa kwa vijana, ndala na kiduku au rasta. Halafu kuna maeneo mengine, asilimia kubwa ya bodaboda hawana helmet hata ya dereva mwenyewe, sijui huwa wanaibiana au vipi.
Je uimara wa helmet unaridhisha?
 
Back
Top Bottom