Wito wangu kwa Wanawake: Achaneni kabisa na usafiri wa bodaboda, sio salama kwenu

Halafu tule wapi mkitupunguza ?




Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Na kama kuna ulazima wa kupanda bodaboda basi kaa kwa namna iliyo salama zaidi. Kukaa kiupande inahatarisha sana.

Kwanza, boda boda inabidi awe makini sana katika kuleta balance. Kwa hiyo ikitokea rabsha kidogo, lazima wewe uende chini.

Tanulia miguu pikipiki acha kujidai kukaa kisista duu!.

Lakini pia, wale wavaa nguo ndefu kama madera, kusanya nguo zako ili zisiingie kwenye 'chain' ya pikipiki. Ikikamata, kabla hujafa, papuchi itakuwa wazi. Jisitiri.
 
Mtu unaenda marekani na nauli ni USD elfu karibia 10, na una viza ati uache na kununua ticket ingine! Unless una economy class
Sijawahi kupanda zaidi ya economy class,halafu huwa sichelewi hivyo,nazingatia sana muda na najua foleni inaweza kutokea hivyo najiweka sawa.
 
Hapo mataa ya mwenge pana mapepo, last week Kuna jirani alikua kwenye boda wamesimama wanasubiri taa ziruhusu likatokea gari kwa nyuma likawagonga jamaa akaruka akaangukia pembeni ikatokea gari nyingine ikampitia kichwani akafa hapohapo

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Ushauri Mzuri sana mkuu
 
Sijawahi kupanda zaidi ya economy class,halafu huwa sichelewi hivyo,nazingatia sana muda na najua foleni inaweza kutokea hivyo najiweka sawa.
Nimekuelewa ila kwetu ambao ni frequent travelers, sometimes shit happen my friend!
 
Yaani ajali nyingi sisi ndio victims, na hatujui KURUKA. Nina rafiki zangu zaidi ya sita wameenda na mwingine Rehema Muya kapoteza uwezo wa kutembea, spinal cord imevunjika
Hata mngejua kuruka isingefaa kitu changamoto ya boda ni kwamba wewe ndiyo unakuwa shield, ni kutokuzipanda tu au kuzingatia ushauri wa mjumbe hapo juu
 
Hatukuamini mpaka utume picha la sivyo tunakushambulia [emoji2955]
 
I lost my friend week tu imepita sababu ya bodaboda,r.i.p cheu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…