Wito wangu kwa Wanawake: Achaneni kabisa na usafiri wa bodaboda, sio salama kwenu

Tema mate chini! Foleni ilinifanya niipande toka Kino hadi Airport kuwahi na nilikuwa last passenger to board
Hukuzingatia muda ndo maana ulipanda boda, huwa mnapewa Arrival time ya Masaa 2 hivyo ondoka ulipo mapema ili uwahi fika
 
Mkuu hao wakiwa wanaziwahisha mbususu huwaga wanakuwa na wenge sana, halafu mademu ni tofauti sana na wanaume........mwanaume ni rahisi sana kung'amua ajali mapema na hata kuiepuka maana muda wote anakuwa yupo alert, demu akishakaa kwenye boda yaani anajiachia tu na kuanza hata kutuma meseji za kumjulisha jamaa asiwe na wasiwasi mbususu itafika ndani ya dakika chache....
 
Yaani ajali nyingi sisi ndio victims, na hatujui KURUKA. Nina rafiki zangu zaidi ya sita wameenda na mwingine Rehema Muya kapoteza uwezo wa kutembea, spinal cord imevunjika
Dah[emoji25]
 
Sema kuna vitu haiwezekani tena,mi naoenda zisiingizwe kabisa nchini,zimeua watu ninaowafahamu zaidi ya 10,mdogo wangu nusu imtoe roho ,zimemkosa mara mbili ,sasa hivi mguu mmoja mlemavu ,alikuwa amamiliki pikipiki 5 ,nikamshauri auze zote kuondoa jinamizi la mauti na akafanya hivyo.
 
Mambo mseto!!!
 
Nilipata ajali tarehe 29.4.2021 nikavunjika mguu wa kulia,mpaka leo nipo kitandani

Dereve wa bodaboda alifariki palepale, kuja kichunguza naambiwa alikua kalewa pombe.
Dah! Pole sana,Mungu akufanyie wepesi
 
wanasahau hata kujishika wanajiachia tu. Mdogo wangu mmoja nilimuonya tabia ya ku-relax kwenye bodaboda, akacheka siku ya tano baadae alijiachia akisoma message, kwa bahati mbaya mbele kulikwa na roli la ujenzi wa reli ya SGR, likadondosha jiwe na kwavile bodaboda alikuwa karibu sana hakuweza kulikwepa hilo jiwe akalipapanda lakini bodaboda haikuanguka bali yule dada alirushwa juu akatua chini, aliumia uso na mikono ambayo ilimpelekea kuugua siku takriban 10
 
Sema mademu sijui kwann wanakaaga kiupande upande
Shobo
Inasikitisha sana
 
zipigwe marufuku kabisa mijini kwenye magari na movement kubwa, matumizi ya uber na tax yatiliwe mkazo mijini.. Ziluhusiwe vijijini kwa usimamizi maalum na kwenye miji midogo kuwe na leseni maalum..

Kiukweli sensa ya vifo vitokanavyo na bodaboda ikifanyika tutastaajabu sana, idadi ya walemavu na majeruhi wa bodaboda record ikiwekwa tutashangaa sana namna nguvu kazi inavyopotea...
 
ukisoma tu huu uzi hapa utagundua watu wengi sana wamekufa kupitia hizi bodaboda na wengi sana wamepata ulemavu kwa kusoma tu huu uzi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…