Wito wangu kwa Wanawake: Achaneni kabisa na usafiri wa bodaboda, sio salama kwenu

Hukuzingatia muda ndo maana ulipanda boda, huwa mnapewa Arrival time ya Masaa 2 hivyo ondoka ulipo mapema ili uwahi fika
Hii Arrival time ndio reporting time? [emoji1745][emoji1745]
 
unapishana na boda imekabeba kadada kamevaa jinsi tight na viatu vya wazi vyenye manyoya.....boda ipo speed huku ikipiga singeli....kenyewe hakana habari kanapekenyua tu simu....wala hakajishughulishi kumwambia dereva apunguze mwendo.....na wakati huo ukute kanawaishwa lodge ili kakafukunyuliwe na jamaa mwingine.
 
Hukuzingatia muda ndo maana ulipanda boda, huwa mnapewa Arrival time ya Masaa 2 hivyo ondoka ulipo mapema ili uwahi fika
Kijana mimi ni mzoefu wa kusafiri masafa ila siku hiyo kulitokea jam ambayo tulikaa zaidi ya masaa moja na zaidi. Imagine mimi nimeshaingia ndani ya ndege, dereva hata hajafika Magomeni.
Angalia hizo bei hapo! Hata USD 1000 haifikiView attachment 1962268
Angalizo. Siyo kila mtu anasafuri na Economy
 
Nilipata ajali tarehe 29.4.2021 nikavunjika mguu wa kulia,mpaka leo nipo kitandani

Dereve wa bodaboda alifariki palepale, kuja kichunguza naambiwa alikua kalewa pombe.
Asee pole Sana
 
Tema mate chini! Foleni ilinifanya niipande toka Kino hadi Airport kuwahi na nilikuwa last passenger to board
Uzembe,ulitakiwa utoke nyumbani two hours or three before
 
Usafiri wa boda boda haukwepeki, kwa sababu ni usafiri wa haraka halafu una penya kila mahali
 
Uzembe,ulitakiwa utoke nyumbani two hours or three before
For your information kama natoka kwangu hadi Airport si chini ya masaa 4, dogo! Hasa ikiwa si domestic. Ubishi wa michadema huo
 
For your information kama natoka kwangu hadi Airport si chini ya masaa 4, dogo! Hasa ikiwa si domestic. Ubishi wa michadema huo
Unaishi morogoro we mataga๐Ÿ˜€๐Ÿ˜
 
Kijana mimi ni mzoefu wa kusafiri masafa ila siku hiyo kulitokea jam ambayo tulikaa zaidi ya masaa moja na zaidi. Imagine mimi nimeshaingia ndani ya ndege, dereva hata hajafika Magomeni.

Angalizo. Siyo kila mtu anasafuri na Economy
Hatujataka hizo tambo zako. Ndege kitu gani?
 
For your information kama natoka kwangu hadi Airport si chini ya masaa 4, dogo! Hasa ikiwa si domestic. Ubishi wa michadema huo
Unakaa wapi? Bagamoyo au Chalinze?!!๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡
 
Sijawahi kupanda bodaboda na sidhani kama nitakuja kupanda
 
Asante kwa ushauri Mkuu ila sasa kuna wakati ni inakulazimu kupanda hizo boda kutokana na mazingira yaliyotuzunguka. Hapo cha kufanya ni kuzingatia tu ushauri wako kwa mkazo maana ni kweli tunajisahau sana kwa kweli na kuchat juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ