anaongea usibisheHaya maongezi yako na ChatGPT ni feki, hawezi akaongea slang za Hivyo aisee
Mimi ndio nilianza kuliuliza maswali, lilivyonipa jibu likageuzia kibao kwangu😂Mbona wewe ndio unaulizwa maswali?
Kweli😂, lakini mimi ndio nilikuwa muanzisha madaAI inatoa hoja nzito kukuzidi mkuu
Haya maongezi yako na ChatGPT ni feki, hawezi akaongea slang za Hivyo aisee
| Ni ChatGPT mkuu | ||||||
fanya kulog in through Google Account chap tu mkuu, hakuna haja ya kucreate accountNashindwa kufungua account chatGPT aisee