financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Umetisha sana mkuu, katikati ya uzi wa majonzi na hisia , umetupia kibwagizo chako, safi sana kwenye marketing uko vizuri. Tutakuona kama tukiwa na jambo hukoEndapo una jambo la kufuatilia,liwe la kiofisi au lisilo la kiofisi,na halikulazimu wewe kuwepo au kuja Dodoma,wasiliana na 'Dodoma messengers' kwa 0765920855,usaidiwe kutatuliwa,ukiwa hukohuko uliko,kwa gharama nafuu.
Upo sahihi sana hakuna haja ya kufake upendo, unaona huwezi samehe na hakuna namna mnayoweza itafuta amani ni bora kuachana tu. Ona huyo Dr kawateketeza wanae ambao hawana hatia 😔Ni hatari mno, ila kusameheana na kusahau ni nzuri siyo kulipiziana visasi, kama hujasamehe basi move on kabisa kuliko unapretend umesamehe kumbe unaandaa revenge, hii ni kwa wote me na ke
Ila hapo kwa watoto sijamuelewa why kaamua hivyo hadi kwa watoto, anyways R.I.P to them, kifo cha maumivu 😪Upo sahihi sana hakuna haja ya kufake upendo, unaona huwezi samehe na hakuna namna mnayoweza itafuta amani ni bora kuachana tu. Ona huyo Dr kawateketeza wanae ambao hawana hatia 😔
Mwanamke kiboko, kwanza mwanamke hasahau yaan atajifanya amesamehe Ila kuna package ya malipizi amekuandalia kaa mkao wa kutazamaNi hatari mno, ila kusameheana na kusahau ni nzuri siyo kulipiziana visasi, kama hujasamehe basi move on kabisa kuliko unapretend umesamehe kumbe unaandaa revenge, hii ni kwa wote me na ke
Huyo Dr alilazimisha maumivu yasiyo ya lazima yaliyopelekea kifo chake sijui ndio mapenzi yalivyo? Upofu na ukiziwi.Kwan alishindwa nini kumuacha
Mtu ameoa mke ambaye muda wote Bluetooth yake iko on ku connect na nearby devices halafu anaweka namna ya kumpeleleza kama si kutaka kifo ni nini
It's very simple dear DONT MESS WITH A MAN AKIWA KWENYE AKILI ZAKE ZA UNYAMA, MAN ARE BEAST IN NATURE ATAKUSHANGAZAKujiua au kuwaua wengine Ni ubinafsi wa hali ya juu na kutojipenda na roho mbayaaa
Karibu sana,lazima tusikitike bila kusahau kua mambo mengine lazima yaendelee.Umetisha sana mkuu, katikati ya uzi wa majonzi na hisia , umetupia kibwagizo chako, safi sana kwenye marketing uko vizuri. Tutakuona kama tukiwa na jambo huko
Watoto wapumzike kwa amani, nmejiskia vibaya kwa ajili yao. Nadhani aliamua awamalize watoto ili kuondosha furaha kwa mkewe jumla.Ila hapo kwa watoto sijamuelewa why kaamua hivyo hadi kwa watoto, anyways R.I.P to them, kifo cha maumivu 😪
Mnalijua hilo kwahiyo huwa mnakusudia, muache.Mtuombee😌
Ukisoma au kuelezewa how brain process love and heartbreak utajua why sio easy to move on kama unavyoongeleaSo sad, kama ikitokea kushindwana kwenye ndoa/mahusiano ni bora kuachana tu na kuanza upya, kujikatisha uhai dah[emoji25]. R.I.P
Ok ni ngumu kweli ila mbona kuna wanaoweza , umeona confessions hapo juu kuna ambao waliacha kila kitu wakaishia na kuanza maisha mapya, kuliko kuishia kufanya maamuzi magumu hivo basi ni bora tu ukajitajidi ku move on mapemaUkisoma au kuelezewa how brain process love and heartbreak utajua why sio easy to move on kama unavyoongelea
Famchezo niniHakuna kisasi kibaya kama cha mwanamke. Nilishajifunza wengi huwa hawana misamaha ya kweli na mbaya zaidi huwa wanakungojea ujirudi ndio waanze kulipiza.
Kweli mke wake sijui kama atakua sawa maisha yote, dahWatoto wapumzike kwa amani, nmejiskia vibaya kwa ajili yao. Nadhani aliamua awamalize watoto ili kuondosha furaha kwa mkewe jumla.
Ahsante, ni kweliKaribu sana,lazima tusikitike bila kusahau kua mambo mengine lazima yaendelee.
Nyie ndio maana tuliaswa kuishi nanyi kwa akili.Famchezo nini
Personality zinatofautiana, na ukweli ni kwamba only few moves on wengi huishi na maumivu but as time goes wanayaficha na tabasamu.Ok ni ngumu kweli ila mbona kuna wanaoweza , umeona confessions hapo juu kuna ambao waliacha kila kitu wakaishia na kuanza maisha mapya, kuliko kuishia kufanya maamuzi magumu hivo basi ni bora tu ukajitajidi ku move on mapema
Kuwa sawa ni uongo ukizingatia chanzo cha yote ni yeye, atajutia maisha yake yote kwa kusababisha wanae kufariki. Yamkini mumewe hakuwa na upendo nae tena ila watoto ni pigo kubwa kwake.Kweli mke wake sijui kama atakua sawa maisha yote, dah