Wizara husika imchunguze Pastor Dominick (kiboko ya wachawi)

Tuanzishe

Tuanzishe jukwaa la dini mjadala mwengine kuhusu uislamu ntakua na mengi,Hapa ilikua ni tahadhari tu kabla ya hatari
Shida kuwafikia walengwa sio rahis.
Pengine hata kumiliki simu wameambiwa ni dhambi!
 
Times wataona na serikali imeona, mimi nimetimiza lengo
 
Kwa wakristo acha tu wapigwe hakuna serikali kuingilia kati, ukiwasanua hawakawii kukuambia wewe ni Kobazi unawaonea wivu manabii wao, acha wapigwe hswaa,kama yule dogo anajiita IPM, ni muislam pure ila nae anajifanya nabii apige ela za wakristo
Ha a Muda mrefu huyu serikali italala nae mbele
Tupo hapa
 
Tuna kazi ya kupaza sauti mkuu,
 
EFM kila siku usiku mahubiri yake na maombi yake ni kufufua wafu 🤣🤣🤣🤣. Jana kafufua mtoto aliyekufa siku tatu zilizopita
 
EFM kila siku usiku mahubiri yake na maombi yake ni kufufua wafu 🤣🤣🤣🤣. Jana kafufua mtoto aliyekufa siku tatu zilizopita
Hii si sahihi kabisa ccTCRA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…