Wizara husika imchunguze Pastor Dominick (kiboko ya wachawi)

muache apige hela aisee
mradi watu hawalazimishwi
 
King Kong III wanatumia nguvu za giza kuwapumbaza waumini wao, ndio maana waumini hawashtuki!

Ukishakuwa muumini wa madhabahu ya pastor "feki" kama huyu kutoka ni vigumu.
 
King Kong III wanatumia nguvu za giza kuwapumbaza waumini wao, ndio maana waumini hawashtuki!

Ukishakuwa muumini wa madhabahu ya pastor "feki" kama huyu kutoka ni vigumu.

Sure ,nakubaliana na wewe ndiyo maana kila mara anasisitiza njoo kanisani njoo kanisani fika buza kwa lulenge mwambie boda boda akulete ,kumbe anajua ukifika tu anakuchapa na mapepo ya kuwa MSUKULE.....Kwa akili ya kawaida ya darasa la 3 unajua kabisa anachofanya ni USANII ila kwakuwa anatumia nguvu za giza ngumu kweli kutoka.
 
Kwenda kumuona tu bila 500,000 huwezi muona!! Ni bonge la tapeli, na serikali ina mchekea tu kwani mpiga ramli
 
Wache wapigwe akili ziwakae sawa
 
Mkuu Kuna kiashilia gani kilichokupa wasiwasi Hadi unahisi Pastor Dominick anatakatisha fedha ?
 
Hasa "ramli " ni chonganishi. Siku mtu akitoka na shoka na kummaliza mbaya wake (fake) ndio serikali itapiga kelele.
 
Defender tatu azitoe wapi gari yake tu hata defender moja haifiki

USSR
 
Unaandika kama hujielewi vile unajua tofauti ya kanisa na hospital

USSR
wewe ndio hujielewi mkuu. Hiyo itabaki kuwa hivyo ukipeleka huko shida ako ukandwe hadi useme na usiposema utasema tu.
 
ukichunguza kwa makini kuhusu utendaji kazi wa serikali yetu hii ni wa staili hiyohiyo ya huyo nabii kiboko ya wachawi ni uchonganishi unafki na uwongo.. sasa katika mazingira kama hayo hawataweza sanasana wanamuona ni mtoto mdogo tu anajitafuta kiridhiki chake huko uswahilini..!
 
Na mzinzi wa wake za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…